Diamond mdomo huu vip tena?

183265_191721300859670_100000654052314_532234_2571375_n.jpg
..........................................................................
 
Hebu mwacheni dogo, ni Mola pekee anayetakiwa kukosea , kabla hujafa hujaumbika acheni hizo na huo wote ni wivu kama asingekuwa star wala musingemjadili yuko ,mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaaana mwenzenu
 
lets face it ingawa uyu dogo ni staa kwa kweli he is ugly looking, jua ugly sio tusi kama wengine wanavyodhan wakidai eti vyote vimeumbwa na mungu fine wote tumeumbwa na mungu but some people are ugly looking full stop!
 
Hebu mwacheni dogo, ni Mola pekee anayetakiwa kukosea , kabla hujafa hujaumbika acheni hizo na huo wote ni wivu kama asingekuwa star wala musingemjadili yuko ,mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaaana mwenzenu

povu jiiingi kama la ndovu special malt!
 
wengi wenu mnaomsema diamond umaarufu wenu unaishia chit chat,MMU na jukwaa la kikubwa kwa majina feki period,hata awe na domo kubwa,apake eye shadow au wanja ukweli utabaki pale pale kuwa hata mumponde vipi Diamond anapendwa na warembo ambao wengi humu mtakufa bila hata kupata salamu zao,mko busy kumsema mwenzenu yuko busy kuingiza pesa ambazo nina uhakika wengi wenu humu mshazeeka hamjawahi kuzishika,diamond ni superstar mkubwa bongo wakati wengine humu hata ustar wa shule za msingi hamkuwahi kuupata.Wivu tu,nahisi wanaomponda diamond huku wengi wao ni vibibi na vibabu sema ndo hivyo nyuma ya avatar kila mtu anajifanya wamo,wengine humu choka mbaya hata hela ya nauli ya kushikia mkuki wa daladala ya kesho kwenda posta kuomba ajira hawajui watapata wapi lakini wanajiona wa maana kiasi cha kumkashifu mtoto wa watu ambaye kawazidi kila angle.Mti wenye matunda ndio utupiwao mawe,debe lisilo na kitu kutwa kupiga makelele ya kipuudhi,mnatamani kuwa diamond ndo mana mnadhani mkimponda mtamshusha awe level yenu.Get a life loosers.
 
niliwaambia hao nikajua watarmv hyõ post lakn wap wanazd kumdc mtt wa wa2 ili hali yy hana korsa anzen kumkosoa alyemuumba cz yy amajtkuta yuko hvyo ! Kama vp na we weka pcha yako 2kuone ulvyo aaklf wa2 wa coment t ujijue muonekano wakko kupitia wa2
 
niliwaambia hao nikajua watarmv hyõ post lakn wap wanazd kumdc mtt wa wa2 ili hali yy hana korsa anzen kumkosoa alyemuumba cz yy amajtkuta yuko hvyo ! Kama vp na we weka pcha yako 2kuone ulvyo aaklf wa2 wa coment t ujijue muonekano wakko kupitia wa2

hivi diamond ana kasoro gani jamani,kuna viumbe humu wanatia hasira nahisi ban linaninukia,watu wana midomo mirefu ya kukosoa wenzao walivyoumbwa utadhani changudoa lililorushwa malipo na mteja kule kinondoni makaburini.Kuna siku watu watasutwa humu na matarumbeta kwa umbea wa kuonea wenzao wivu,midomo mirefuuu kama chuchunge,kinachonikasirisha kwanza kabisa diamond hajajiumba mwenyewe,pili yeye ni mwanaume mnataka awe beutiful ili iweje,tatu lips zake ni nyekundu hajapaka lipstick,nne anahitaji support yetu sababu yeye ni kijana mwenzetu alietoka katika mazingira magumu akafight mpaka leo hii kidogo maisha yake na mamake yana uhakika,je mnamvunja moyo mnefurahi kama angeishia kuwa teja au kibaka atuubie pochi zetu?Dimond ni fighter,amefight peke yake bila kusaidiwa wakati wengi wetu humu hata viajira tulivyonavyo vinavyosaidia tuwe na access ya internet ya bure tumevipata kwa msaada wa kupigiwa cross na wajomba na baba wadogo,hivi unafikiri mtoto wa watu anajisikiaje anapokosolewa kitu ambacho hawezi kukibadilisha,au akafanye plastic sugery awe kama m.jackson ili maloosers mpate jipya la kusema.Wengi humu hamna lolote mbele ya huyu kijana mnajishongondoa tu sbb mmejificha nyuma ya avatar wekeni picha basi tuwaone mlivyo mahandsome au ukute mnasura mbaya ka mmeegesha chafya.Acheni mawivu ya kizamani,kijana yuko hata nyie wenyewe mnamkubali.
 
Back
Top Bottom