Diamond LIVE ndani ya DarLive:kushuka na helkopta.

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,047
wadau Diamond anazidi kufunika ndani ya bongo...muda sio mrefu atashuka na helkopita stejini,umati ni mkubwa sana hapo Darlive.

Inaonyeshwa Live na Clouds tv.
 
hakuna helkopta tanzania inayoruhusiwa kutembea usiku. mwisho saa 12:00.
 
na sie wabongo tupunguze ulimbukeni, whats so funny mtu anakuja na Chopper kutoka JKNA hapo anateremka ukumbi wa starehe,mi namwona ye ndo mshamba zaidi! mnasema ukumbi wa 1st son,,mnamaanisha nn? c ule wa mbagala?
 
Kutumia helikopta kutoka ndani ya dar na kwenda kufanyia show ndani ya dar mi naona anapoteza tu hela,labda anatafuta umaarufu,yasije yakumtokea ya Mr.Nice
 
Mbongo sifa yake kubwa ni kupenda gd tym kulik k2 kingine. Amuulize mr nice, oh
 
diamond!diamond!diamond!diamond!platinumz.........huu mvuto mnyama umeutolea wapi jembe langu?kila kona diamond!dah!muda wako mzazi.....
 
Wandugu nilikuwa pale, aisee dogo hashikiki ana mvuto wa ajabu, pamoja kulikuwa na mvua bado watu walijaa hadi hakuna pa kukanyaga tiketi za 7,000 ziliisha mapema zikabaki 10,000 na 15,000 na bado watu walinunua, big up Diamond
 
mmbangifingi, that was marketing strategy! na it worked out, trust me kuna wengi walihuamasika only kwa kutaka kuona atakavyoshuka stejini kwa helikopta. Its unfortunately hawakutekeleza promise yao! ingawa alishuka nje ya ukumbi kwa helikopta na sio stejini kawa walivyosema before!
 
Wandugu nilikuwa pale, aisee dogo hashikiki ana mvuto wa ajabu, pamoja kulikuwa na mvua bado watu walijaa hadi hakuna pa kukanyaga tiketi za 7,000 ziliisha mapema zikabaki 10,000 na 15,000 na bado watu walinunua, big up Diamond

acha kabisa!binafsinamuonea wivu kwani nilikuwa namchukulia pimbi flani ila kwa sasa gap kubwa sana la mvuto kawaacha wengi!
 
Wandugu nilikuwa pale, aisee dogo hashikiki ana mvuto wa ajabu, pamoja kulikuwa na mvua bado watu walijaa hadi hakuna pa kukanyaga tiketi za 7,000 ziliisha mapema zikabaki 10,000 na 15,000 na bado watu walinunua, big up Diamond
Mwenye mvuto hapa nadhani ni Shigongo ndiyo anauwezo wa kupumbaza akili za watu kama nyinyi, mimi binafsi hawa Wanamuziki wa kizazi kipya bado sioni zaidi ya Jide na Banana Zorro, kwa msiojuwa muziki ni lazima mtakwenda kugeuzwa mang'ombe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom