Diamond kumsaidia kikwete arusha

kikwete hapendwi, na anajua hapendwi! lakini kang'ang'ana na ikulu utadhani ndio ngozi yake!
 
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?

Nashangaa sana hii kitu!!! Au ndo mambo ya Obama na Jayz ( UFREEMASONRY)?? Ona, kwanini ayaache machalii ya 'R' kibao kama akina BONTA, WATOTO WA BIBI (JAMBO SQUAD), WEUSI, na wengineo kibao!!! Hivi huyu Muuza nyago (Diamond) ana influence gani kwa vidume wa A-town wanaopenda HIPHOP ZENYE STRONG MESSEGE!!?? Eti Diamond!!!!??? Eish!!?
 
Asije akaleta hii maneno kwa machalii wa R...
dddd.jpg

teh! teh! teh! teh! teh! teh! teh! teh! Eti nae huwa anasema anamshukuru mnyaazi mungu kwa kumpa style mpya kila show!!!
 
Mie huwa napata wasi wasi sana na akili za watanzania na hasa watu wa arusha, kitu anacho kuja kufanya JK ni kwa faida yenu na vizazi vyenu, kumsusia mtu kuna maana gani sasa? hebu watanzania tupevuke akili zetu , kwani kwenye masuala ya maendeleo huwa hakuna uhasama. Na isitoshe hao mnao wakumbatia hawajawafanyia chochote na mwisho wa siku mnarudi kwa JK kumpigia magoti awafanyie hayo myatakayo

Nani kasema!? Cheze R chuga weweee!!!
 
Uongozi wa mkoa wa Arusha umelazimika kumleta Bongo Fleva, Diamond ili asaidie kukusanya watu wakati Rais Kikwete atakapohutubia umma wa mji wa Arusha siku ya alhamisi mchana.
Kikwete atazindua rasmi jiji la Arusha siku hiyo.
Vyanzo vya ndani vimebainisha kuwa jitihada za viongozi kuhamasisha mahudhurio zimekuwa zikigonga mwamba katika ngazi za kata kwani watu wengi wamekuwa wakisema wazi kuwa hawatakwenda Stadium!
Diamond ambaye ni kipenzi cha wanawake wengi hususan mabinti wa shule atasaidiana na za komedi kujaza uwanja kabla ya hotuba.
Wakati huo huo wasanii wa Arusha wameandamana hadi ofisi za meya wa jiji kupinga kuenguliwa kwenye tamasha hilo huku uongozi ukiwakumbatia ma bongo fleva wa Dar.

Wana mletea nani uyo bogonyo....waje wajaze uwanja na watoto,wakusoma na maslowmore!! Wana acha mavipaji ya kutosha apa chuga alafu wanatuletea maree wanavua guo majukwani! Waonyeshe machupi yao ya kishoga tena naleo....akuna raia ataenda msikiliza uyo man? Shuli zingi apa mjini! Ata akigawa jala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom