Diamond kumsaidia kikwete arusha

kwa watu wa arusha walivyo na msimamo, nahisi jk atakuwa na wakati mgumu sana wa zomea zomea.
 
Uongozi wa mkoa wa Arusha umelazimika kumleta Bongo Fleva, Diamond ili asaidie kukusanya watu wakati Rais Kikwete atakapohutubia umma wa mji wa Arusha siku ya alhamisi mchana.
Kikwete atazindua rasmi jiji la Arusha siku hiyo.
Vyanzo vya ndani vimebainisha kuwa jitihada za viongozi kuhamasisha mahudhurio zimekuwa zikigonga mwamba katika ngazi za kata kwani watu wengi wamekuwa wakisema wazi kuwa hawatakwenda Stadium!
Diamond ambaye ni kipenzi cha wanawake wengi hususan mabinti wa shule atasaidiana na za komedi kujaza uwanja kabla ya hotuba.
Wakati huo huo wasanii wa Arusha wameandamana hadi ofisi za meya wa jiji kupinga kuenguliwa kwenye tamasha hilo huku uongozi ukiwakumbatia ma bongo fleva wa Dar.

Arusha ninayoijuwa Mimi na wabana puwa ni wapi na wapi? Arusha na kili ni hip hôp na reggae
 
Watu mnakurupuka san! Unafikiri kikwete hana wafuasi Arusha? Kumbken bdo kuna kata zinaongozwa na CCM na hata juz uchaguz wa daraja 2 ccm ilipata kura 1217 sasa hawa c wanampenda? Achen ndoto za abunuasi nyie, uwanja utajaa na kufurika tena kwaya zitakuepo! Mimi simkubl hata kidogo japo hainifanyi nitetee uongo
 
kwani kwenye huo uchaguzi wa daraja2 JK ndio aliekuwa anagombea? ushaur kwa JK apeleke wana hiphop watajaa.na mwana hiphop hawez kuwa CCM HATA siku moja.
 
kuna siku niliwahi kusema kuwa kikwete akitaka kuja arusha lazima atengeneze mazingira rafiki na ninamhakikishia diamond akishuka tu watu wataanza kuondoka labda wafunge mageti kama mwaka juzi kwenye kampeni..
 
kwani kwenye huo uchaguzi wa daraja2 JK ndio aliekuwa anagombea? ushaur kwa JK apeleke wana hiphop watajaa.na mwana hiphop hawez kuwa CCM HATA siku moja.....

Si awaahidi ukuu wa wilaya kama alivyo mwahidi Nakaya.
 
huendi kwa sababu hutaki kushuhudia uzinguzi wa jiji letu au ni kwa sababu kikwete ndio atakuepo?

Kwa mimi mtu wa Arusha Kikwete kwangu ni laana; kushiriki kwenye laana kwa kuhudhuria kitu chake cho chote ni kujitakia laana. Afungue tu lakini Arusha itabaki kuwa ya watu wa Arusha ambao wamesalitiwa na Kikwete na CCM hadi mauaji!!!.
 
Kama pungu vileee, anazindua jiji, sasa wewe hutaki wakati huko ndiko unako ishi, mbona hueleweki. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Mpenzi wa mama yako ni baba yako huyoooo, mama anaisikilizia, mtoto hujakua eeeheee.
\
Mkuu, naomba msaada tafadhari! Hivi kwamfano mheshimiwa akizindua mji wetu na kua jiji say wapo watu 100 tu uwanjani wakati wa uzinduzi, idadi ya watu waliohudhuria inaweza kubadiri maana? I mean inaweza kubadiri maana ya kua au kutokua jiji?, mi naunga mkono huo mgomo, halafu raisi kuzindua vitu vidogo kama hivi nadhani ni aaibu kidogo, angekua anazindua vitu vya maana, yasije yakawa yale yale ya Pinda, kwenda Bohongwa kuzinduzi mradi wa nyuki na mizinga 20 while msafara wake ukiwa namashangingi 50, si ndo wananchi wakaamua kumzomea!?
 
Nipo mjini ila mimi na marafiki zangu hatutakanyaga katu hata wamlete 50 cent

Mie huwa napata wasi wasi sana na akili za watanzania na hasa watu wa arusha, kitu anacho kuja kufanya JK ni kwa faida yenu na vizazi vyenu, kumsusia mtu kuna maana gani sasa? hebu watanzania tupevuke akili zetu , kwani kwenye masuala ya maendeleo huwa hakuna uhasama. Na isitoshe hao mnao wakumbatia hawajawafanyia chochote na mwisho wa siku mnarudi kwa JK kumpigia magoti awafanyie hayo myatakayo
 
Akili zako changanya na za Kikwete bado hamtaelewa. Ndivyo Mlivyo
 
kuna siku niliwahi kusema kuwa kikwete akitaka kuja arusha lazima atengeneze mazingira rafiki na ninamhakikishia diamond akishuka tu watu wataanza kuondoka labda wafunge mageti kama mwaka juzi kwenye kampeni..

​Wana Arusha hawana rais mwingine ni yeye tu JK hata ww huna rais zaidi yake na ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi wako mkuu
 
Zote kampeni za ubunge dhaifu ana kitu anachokitaka hapo arusha sio bure mbona kapa shikia bango kuliko msoga?.........dhhaifu,dhaifu,dhaifu
 
Mie huwa napata wasi wasi sana na akili za watanzania na hasa watu wa Arusha, kitu anacho kuja kufanya JK ni kwa faida yenu na vizazi vyenu, kumsusia mtu kuna maana gani sasa? hebu watanzania tupevuke akili zetu , kwani kwenye masuala ya maendeleo huwa hakuna uhasama. Na isitoshe hao mnao wakumbatia hawajawafanyia chochote na mwisho wa siku mnarudi kwa JK kumpigia magoti awafanyie hayo myatakayo........[/QUOTE]

Mzee nakubaliana nawe. Mwaka 1995 Arusha walimchagua Bw.Makongoro Nyerere wa NCCR Mageuzi wakati ule.

Watu walihitaji comments za mzazi wake kwa kuwa ni mwanasiasa aliyebobea na kiongozi wa kwanza wa nchi.

Taarifa zikasema kuwa mzee ameingiwa na wasiwasi juu ya uelewa wao kuhusu siasa na uwezo duni wa kufikiri kwa ajili ya maendeleo yao, akiwalenga wapinzani. Nami pia nina wasiwasi nao.
 
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?

Hahhahahahaha,freemasons washirika.

haya bwana msithubutu kuwafanya wananchi waarusha wawe washiriki kwa mazingaombwe yenu.
 
Kwa mimi mtu wa Arusha Kikwete kwangu ni laana; kushiriki kwenye laana kwa kuhudhuria kitu chake cho chote ni kujitakia laana. Afungue tu lakini Arusha itabaki kuwa ya watu wa Arusha ambao wamesalitiwa na Kikwete na CCM hadi mauaji!!!.

nakubaliana na wewe kabisa..ccm wameona arusha wanaipoteza haina wafuasi wa ccm so wanakuja kujikosha, hatuitaji rais wa nchi kuja kuzindua jiji letu na sitashangaa wakihonga watu pesa ili wahudhurie ufunguzi huo
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom