Diamond kumsaidia kikwete arusha

Diamond ambaye ni kipenzi cha wanawake wengi hususan mabinti wa shule atasaidiana na za komedi kujaza uwanja kabla ya hotuba.
.......

Hapo kwenye blue,mwanaasha akae mkao wa ........[/QUOTE]

Mwanaasha si alipelekwa ughaibuni jamani au karudi?
 
Kama tulivyokomba viti vya udiwani na kiwanja kitajaa, Jakaya Mrisho Kikwete ni kitu adhimu ile.
Kitu adhimu sanaa! usijekuta watu wanajaa huku wakifikiri mtu mzima atapiga mweleka kama jangwani au Kirumba! unajua KUBAHATIKA kuona Presida (Commander In Chief) kabebwa msobemsobe baada ya kuishiwa nguvu na na kutepeta hadharani ni tukio adimu kama kuona kupatwa kwa jua? Zomba, usikose Arusha maana unaweza ishi miaka 100 hadi ukafa usishuhudie Amiri Jeshi wa nchi yeyote duniani akitepeta jukwaani.
 
Asije akaleta hii maneno kwa machalii wa R...
dddd.jpg
 
Kitu adhimu sanaa! usijekuta watu wanajaa huku wakifikiri mtu mzima atapiga mweleka kama jangwani au Kirumba! unajua KUBAHATIKA kuona Presida (Commander In Chief) kabebwa msobemsobe baada ya kuishiwa nguvu na na kutepeta hadharani ni tukio adimu kama kuona kupatwa kwa jua? Zomba, usikose Arusha maana unaweza ishi miaka 100 hadi ukafa usishuhudie Amiri Jeshi wa nchi yeyote duniani akitepeta jukwaani.

Hagombei uchaguzi, unalijuwa hilo lakini au umesahau, anapeta ndai ya Ikulu mwaka wa saba huu.

Vipi mmepata madiwani wangapi?
 
mimi nashauri watumie ulemtindo wa cuf wa kuwaleta watu kwa coster, fuso na usafiri mwingine, MBONA CUF WALIFANIKIWA KUJAZA KIWANJA?
 
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?
Wasanii wengi Wa A-Town ni wa Hip-Hop na unajua jinsi Mziki huo unavyowa Dis Politician so sizan ka watafanya hilo Kosa! SAMAHAN LAKINI
 
huyu si ndio yule rais maarufi kuliko hata chama chake? nini kimempotezea umaarufu hadi azidiwe na 'diamond'? au ni janja yake tu anataka kupiga naye picha tu??
 
Kama tulivyokomba viti vya udiwani na kiwanja kitajaa, Jakaya Mrisho Kikwete ni kitu adhimu ile.....

I thought you were smart to know daraja mbili imekombwa na chadema!
Daraja mbili ni moja ya kata ya mjini kabisa.mngemshawishi akazindue jiji huko bangata mliposhinda pale stadium atazomewa!
 
i thought you were smart to know daraja mbili imekombwa na chadema!
Daraja mbili ni moja ya kata ya mjini kabisa.mngemshawishi akazindue jiji huko bangata mliposhinda pale stadium atazomewa!...

Hujui Jakaya Mrisho Kikwete ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? au Arusha si Tanzania?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom