diamond international trade co ltd

neyl

Senior Member
Nov 23, 2011
127
19
habari, eti hawa jamaa diamond international trade co ltd zipo wapi na wanahusika na nini kwa wanaofahamu
 
network marketing..wako sinza mori but niwababaishaji sana..
 
Toa data kamili tujue. Network marketing yao inashugulika na nini. Ofisi zao zipo sehem sinza ipi? Ubabaishaje unakujaje?
 
jana nimetumiwa sms na hao watu wakipa offer ya part time job kwa hiyo kampun niende leo ofisin kwao sasa kilichonishangaza sijawahi kuapply kaz kwa hao watu na hakuna mtu ninayemjua anayeijua hiyo kampuni
 
Toa data kamili tujue. Network marketing yao inashugulika na nini. Ofisi zao zipo sehem sinza ipi? Ubabaishaje unakujaje?

Usiangaike hao ni matapeli ambao wanawaibia watu kwa kutaka training fees ili ujiajiri au wakupe ajira.
 
Toa data kamili tujue. Network marketing yao inashugulika na nini. Ofisi zao zipo sehem sinza ipi? Ubabaishaje unakujaje?
in short, wako sinza Mori, karibu na mnara wa tigo...ukienda utakuta watu wengi sana, wanaingia kwenye conference hall yao in turns.. humo ndani wana "preech" matumizi ya dawa za GNLD, na membership ni elfu 50,000.. so utatnunua dawa zao ili uanze kuwauzia mabeste wako... thats all, its not a big deal at all, but trust me, they have high convincing power, na mashuda feki...
 
daah hawa ni sawa na forever living yani sitaki ssikia habari za watu hawa wana high convicing power ukishaingia unabaki kusaga miguu tu juani
 
jana nimetumiwa sms na hao watu wakipa offer ya part time job kwa hiyo kampun niende leo ofisin kwao sasa kilichonishangaza sijawahi kuapply kaz kwa hao watu na hakuna mtu ninayemjua anayeijua hiyo kampuni

ndo visingizio vyao oooh tutakupa part time job lakini its all bull shit kuwa care full
 
Walishawahi kunipigia na jamaa alijitambulisha kwa jina la Adriani, wa sinza, anadai amesikia sifa zangu mie ni mchapa kazi so anatanani nifanye nae kazi, cha ajabu cmjui wala hata mtu alompa namba yangu simjui, nilimuuliza maswali km 20 hivi mwisho nikamwambia nitumie email kutoka ktk email ya company yenu!! Mwisho akaingia msituni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom