Diamond, Bob Junior wajibizana viobaya!

Kinacho tutesa wabongo ni ukweli ila nawambia diamond gemu inapita tu wapo waliokuwa kwenye chati,umaarufu,pesa,uwezo,elimu,na nk ila mwisho wasiku wamedondoka hawapo kwenye gemu
 
Almas yuko sawa kabisa!binafc cjaona kazi ya hlo libob juniour ya maana zaidi ya kuona jinsi linavokata mauno kama shoga la mombasa.
 
Kumbe nao pia wana mambo ya kinamama ya jikoni...USHOGA tu
waandishi wa habari kwa kujua akili zao wanawauliza maswali ya kikekike tu na wenyewe wanaingia kichwakichwa tu.
 
Diamond aache kiburi cha hela, mbona kuna matajiri kibao Bongo hawana tabia za kujishaushau hovyo, ni utoto au ndio maskini akipata...!

Ma.ta.ko hulia...
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mimi naona blog iko vyema unafiki itaandika baya endapo upo ubaya jema km kunajema diamond hatakiwi kufokiria malumbano hata km tu dalili hizo zipo

hahaaa. Topetope ulichoandika na jina lako ni sawa-sawa!
 
Last edited by a moderator:
Wote machoko tu wapaka poda, midume mizima inakatoka viuno na kuwadiso
 
Wote machoko tu wapaka poda, midume mizima inakatoka viuno na kuwadiso

Ila yule bob Junior the Chokoest! Mana design zake ni za kutafunwa tu, ata pua anavobana sauti inakuwa kama ya kike tena! Kile Chakula cha nani? Na anavokatika kama BATA vile aaa mashallah helwa helwa!! Bado kuvaa sketi!
 
Bon Junior anakata sana kiuno, Dogo Diamond nae kaanza maneno...angalieni wako wapi kina Mr Nice.
 
walianza kubana pua, kuvaa suruali za kubana then kukatika Sasa wameanza kusutana kitakachofuata ni "kutatuliwa marinda" na hivi wanapenda kushine bila kufanya kazi walah! Nawahurumia ..... ALL IN ALL WOTE WANATAKIWA WAJUE SUCCES SIO KUVAA SUPRA Wamuulize Mr Nice chezeya Bongo weye!
 
Back
Top Bottom