DIAMOND awaomba radhi WATANZANIA

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
IMG_8720.JPG
IMG_8719.JPG

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva Diamond amewaomba msamaha Watanzania kwa kitendo ambacho kilitokea mjini Iringa na kusema kuwa hakitatokea tena.Akizungumza na Kajunason Blog mara baara ya kutoka kufanya mahojino katika kipindi cha XXL cha redio Clouds jijini Dar es Salaam, Diamond alisema kuwa,

"Nawaomba msamaha wapenzi wangu wa Muziki ikiwa ni pamoja na Watanzania wote kwa kitendo cha kumfanyia fujo mwandishi wa Iringa,Bw. Godwin Fransis.
"Unajua ni vyema kuwaomba msamahama watanzania kwavile haikuwa dhamira yangu kumfanyia fujo mwandishiwa Iringa, Bw. Godwin Fransis bali ilitokana na hasira nilizokuwa nazo".

Mapema jana tarehe 4.1.2012 Diamond akiwa na wacheza show wake, walitolewa hukumu na hakimu
wa Mahakama ya Mwanzo Hakimu Masua alisema kulingana na watuhumiwa wote watatu kukiri kosa hilo anawahukumu kwenda jela miezi 6 au kulipa fidia ya shilingi elfu hamsini kila mmoja na huku wakilazimika kumlipa Godwinshilingi elfu 30 kila mmoja na kufanya kufikia kiasi cha shilingi 90,000 Wakitoa utetezi wao watuhumiwahao walisema mahakama iwapunguzia adhabu kwa kuwa hawa kukusudia kufanya kosa hilo, na wao walikuja mkoani hapa kwa ajili ya kutoa burudani, na kuwa tukio hilo wamelifanya kwa ghadhabu.
na wacheza show wake, walitolewa hukumu na hakimu

Nadhani Watanzania wana mambo makubwa yanayowahusu kuliko hayo ya kupiga watu. Ulimwengu wa sasa hivi mtu anapiga mtu mwingine ili apate faida gani!!!! Hajui kuwa ngumi ni mtaji.
 
Dogo hovyo sana! hata clouds sema ni radio ya ajabu kabisa otherwise hapakuwa na haja ya kualika mtu/msanii kama huyu au wanatangaza studio zao?
 
Bado utoto unamsumbua..akajifunze kwa TID.

Ni mpuuzi na ndio maana anaweza kuishi na Wema Sepetu ambae wanaume wenzake walimshindwa...mtoto wa kiswazi ni mswai tu kamwe hawezi kubadilika.
 
Tuliza boli bro there are people outa there who cares dearly just like you do when CDM wanaandamana
Hapo kwenye CDM umeharibu, hata tuliotaka ku-care tumeahirisha kwa kuwa umechanganya gongo na maziwa. Siku njema bro natoka humu...
 
Amwombe radhi huyo mwandishi aliempiga na pie amlipe laptop na kamera zake
 
Anatakiwa kujiomba radhi yeye mwenyewe, kama anaelewa nini maana ya kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom