Diamond atumbuiza Big Brother

IK alipomwita jukwaani ili aongee nae kabla ya kuimba wimbo wa mwisho wa moyo wangu, nikajua atashindwa kuongea ung'eng'e,tunashukuru aliweza kujibu!japokuwa na maswali yenyewe yalikuwa mepesi!
 
Ana confidence balaaaaah alivyoitwa nilianza kutetemeka Mimi nikasema mungu wangu.....kumbe ngeli inapanda
 
ulitaka maswali yawe magumu ya nini?

Mie kule kuweza zungumza tu, nimependa sana.

Alivyotwa nikajua TZ tumeumbuka, katema yai nikaruka kama nimekalia tuthpik.

IK alipomwita jukwaani ili aongee nae kabla ya kuimba wimbo wa mwisho wa moyo wangu, nikajua atashindwa kuongea ung'eng'e,tunashukuru aliweza kujibu!japokuwa na maswali yenyewe yalikuwa mepesi!
 
kaenda na Jokate?

mkuu hujasikia kuwa wamesha mwagana? yaani kakataliwa ukweni baada ya kuonekana akiwa katika pozi na aunty ezekiel. pia kwa upande mwingine Hasheem Thabit kaingilia mapenzi yake. But that is not the big deal,

kwangu mim najiuliza hivi mbona dogo anapata coverage kubwa sana au ndo kweli anafanya vizur kuliko wote?
 
hivi mwalimu wake ni nani?

Natafuta nijifunze jamani, nimechoka kuumbuka.

Nilienda mahali panya akawa ndani, afu wenzangu hawajui kiswahili, mie panja simjui kwa kizungu.

Nikawauliza do you know Tom and Jery? Wakajibu Yes.

Nikawaambia Jery is inside.

Hahahaha kitu inglishi kozi mchezo, cku hizi hata mahouse gelo wanajifunza lugha ya malkia itakuwa diamond
 
Kajitahidi, platinumz ukiongea next time kuwa na kituo ulikuwa unaogea fast sana kama ulikariri maneno vile.
 
Last edited by a moderator:
hivi mwalimu wake ni nani?

Natafuta nijifunze jamani, nimechoka kuumbuka.

Nilienda mahali panya akawa ndani, afu wenzangu hawajui kiswahili, mie panja simjui kwa kizungu.

Nikawauliza do you know Tom and Jery? Wakajibu Yes.

Nikawaambia Jery is inside.


You have made my day with this JOKE. Nilifurahi sana baada ya kuona show ya yule kijana ambaye alicheza vizuri sana na jinsi alivyojibu maswali. Hivyo katuwakilisha vizuri baada ya yule dada kuharibu mwaka jana kwa kufanya NGONO hadharani bila aibu. Lakini pia jana nilimbamiza JERRY aliyeingia kwangu bila idhini yeyote ile, hivyo ulivyoongelea Jerry nikamkumbuka.
 
Nitaomba nikosolewe kwa kutamka haya au niungwe mkono

"Toka bongo fleva ianze hakujatokea Entertainer kama Diamond kwa combination ya stage management, utunzi, presentation na vocal.

Jana nilikuwa naomba jamaa apaform tu isije akaulizwa maswali tukaaibika, lakini alivyoulizwa alitema yai mpaka nikajiona mshamba, miaka mingi shule hafu siwezi kutema kama kijamaa duh! Nilipenda kuna kitu IK aliongea Diamond akacheka sana kwa mikogo, baada ya hapo akashusha mistari kama mzungu.

Nasikia hata Prezoo alishaanza kutamba kwenye jumba eti Diamond is my cousin.

Big Up.
 
dayamondi nooooouuumeeeer.

Sikujua kama anatema mayai yaleee

me love this bwoyy.

Nyambaf zang mwenyewe lol
kungwi wangu mzima weye?? mie nikajua kacrem!! lolest alijitahidi sana kuongea kha! jokate anastahili pongezi za tuition za usiku! lolest amesogea sana kwenye ngeli.
 
Safi sana Diamond, amepiga bonge la show kuna watu kibao walikuwa wamekaa wanasubiri wapate la kuzungumza...Diamond kawafunga midomo.

Big up Diamond....umekata ngebe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom