Diamond anunua kifaa cha 40M (Wasafi Records)

This is not 94' we don't luv 'em hoes....Layback and i'm sipping Gin and Juice
 
Swali bado liko palepale, Kiba anataka kujua kwanini microphone yake ilizimika kule Mombasa?
 
Natumaini wanaweza kukitumia vilivyo.

Nakumbuka miaka ya 90 kuna bendi ilizuru nchini. Nilikwenda kuangalia sound check.

Basi tulihangaika sana kupata vyombo vya muziki kuiandalia bendi hiyo kubwa kutoka nje. Tulivyopata vyombo, mafundi wakawa wanafunga.

Baada ya kuvifunga, vile vyombo vikawa havitoi sauti nzuri. Sauti ikawa distorted vyombo vinapwaya kichizi. Mafundi wakalaumu vyombo vibovu. Mimi nikasema leo tunapata aibu.

Mara kidogo wakaja wanamuziki wa ile bendi tuliyoialika. Wakaja pale wakawa wanawaangalia wale mafundi wanavyohangaika.

Wakaja wenyewe wakaomba wapewe control.

He, walivyochukua control wenyewe wazoefu ndani ya dakika kumi tu vile vyombo ambavyo mafundi walikuwa wanalaumu kwamba ni vibovu vikawa vinatoa boonge la sound.

Kumbe tatizo halikuwa vyombo. Tatizo lilikuwa kujua jinsi ya kuvitumia vyombo.

Ni vizuri kupata vyombo vya kisasa na vyenye teknolojia nzuri zaidi. Lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha watu wanajua kuvitumia, ama sivyo vitu vingi vinaweza visitumiwe kukawa hamna tofauti.
 
Hii Dunia kuna vitu inabidi ucheke tu,japo ni vya kuumiza.
umemzidi pesa.
tuzo.
shoo.
mijengo.
unayo bendi.
unatumia gita.
una wasanii wanaokuingizia pesa kuliko anazoingiza yeye.
una lebel.
shoo zake ni kenya na tz. mwenzake karibia dunia nzima.
familia nzima ni maarufu.
ni balozi wa makampuni zaidi ya 5.
ana boooonge la timu linalomtegemea yeye.

WCB HUWA WANACHEEEEEEEEEEEEKA,WANAPOSIKIA VITUKO BADALA YA KUNUNA.

Wakuu mixer yetu inalingana kama sio kufanana na hii.
mixing-console.png
Hatari sana huyu jamaa hata akiacha mziki amewekeza kiasi kwamba anaweza asiishi bila matatizo....
 
Mixer ya million 40 je ataweza kuitumia kwa asilimia 100??

Natumaini wanaweza kukitumia vilivyo.

Nakumbuka miaka ya 90 kuna bendi ilizuru nchini. Nilikwenda kuangalia sound check.

Basi tulihangaika sana kupata vyombo vya muziki kuiandalia bendi hiyo kubwa kutoka nje. Tulivyopata vyombo, mafundi wakawa wanafunga.

Baada ya kuvifunga, vile vyombo vikawa havitoi sauti nzuri. Sauti ikawa distorted vyombo vinapwaya kichizi. Mafundi wakalaumu vyombo vibovu. Mimi nikasema leo tunapata aibu.

Mara kidogo wakaja wanamuziki wa ile bendi tuliyoialika. Wakaja pale wakawa wanawaangalia wale mafundi wanavyohangaika.

Wakaja wenyewe wakaomba wapewe control.

He, walivyochukua control wenyewe wazoefu ndani ya dakika kumi tu vile vyombo ambavyo mafundi walikuwa wanalaumu kwamba ni vibovu vikawa vinatoa boonge la sound.

Kumbe tatizo halikuwa vyombo. Tatizo lilikuwa kujua jinsi ya kuvitumia vyombo.

Ni vizuri kupata vyombo vya kisasa na vyenye teknolojia nzuri zaidi. Lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha watu wanajua kuvitumia, ama sivyo vitu vingi vinaweza visitumiwe kukawa hamna tofauti.

Kwanza ununue mashine kama hii uweke ndani kisha ndio unatafuta wataalam wanaoielewa. Na ukishakaa nayo baada ya muda kwasababu ni yako haitakusumbua tena.

Huwezi kujifunza kuendesha baiskeli kwa kuiangalia kwenye picha tu.
 
January ametoroka kwenye mazingira anamuingilia Nape.....Hahaa mpina bonge la jembe
 
inabidi watafute mkufunzi. wabongo wazembe sana, wengi hata kusoma user manual wanaona uvivu.
 
Kwanza ununue mashine kama hii uweke ndani kisha ndio unatafuta wataalam wanaoielewa. Na ukishakaa nayo baada ya muda kwasababu ni yako haitakusumbua tena.

Huwezi kujifunza kuendesha baiskeli kwa kuiangalia kwenye picha tu.
Kwa mtaji huo unaweza kununua mashine kubwa kama hiyo ukaiunguza siku ya kwanza kwa sababu unanunua kitu usichokielewa.
 
inabidi watafute mkufunzi. wabongo wazembe sana, wengi hata kusoma user manual wanaona uvivu.
Yeah. Mimi nilishuhudia live Diamond Jubilee hapo. Nikajua leo tunapata aibu tumeita watu vyombo vibovu.

Watu wamehangaika saa zima kupata sound nzuri hawajaweza.

Wamekuja wanamuziki tuliowaalika kutoka nje wakashika vyombo dakika kumi tu likatoka bonge la sound.

Mtu anaenda kuunga vyombo vya muziki hajasoma hata somo la elementary kuhusu mambo ya electronics na sound systems. Ukute hata Kiingereza shida. Ukikutana na mtu kama huyo hata chombo chenye manjonjo kibao ukimuwekea atashindwa kuyatumia.

I hope wataangalia na hili, sio kuleta vyombo vya gharama halafu unavitumia kama cha kawaida tu.
 
Kwa mtaji huo unaweza kununua mashine kubwa kama hiyo ukaiunguza siku ya kwanza kwa sababu unanunua kitu usichokielewa.

Kiranga wana studio na vyombo vya electronics wanavitumia humo kila siku, sio kama wametoka kijijini hawajui hata mambo ya Voltage. Tunaposema mtaalamu maana yake ni mtu anayeweza kufanyakazi na hiyo mashine na ikawa productive. Hata hivyo haya maneno ya JF tu, nna uhakika wenyewe wanajua wanafanya nini.
 
Bado hujaelewa au hujataka kuelewa somo langu la msingi.

Teknolojia kubwa bila ujuzi wa kuitumia ili ilete mabadiliko ni kazi bure.

Sijasema hawajui kuitumia.

Nimesisitiza umuhimu wa elimu, tusifikiri kwamba kununua kifaa cha bei kubwa ndiyo utatuzi wa matatizo yote.

Unaweza kununua mixer kubwa hujasoma specs ukakuta umeme wake tofauti, au inatumia teknolojia ya kurekodi mpya sana haiko compatible na zinazotumika kwingine.

Elimu iliyo kwa watumiaji ni muhimu kuliko ukubwa wa teknolojia. Hilo si jambo la kupuuza.

Sijasema hawajui kuitumia.

Unaweza kununua MOTIF XF8 mtu akaitumia kupiga mnanda tu bila kutumia the bells and whistles. Naye anajua kuitumia.
 
Back
Top Bottom