Diamond ang'aa na tuzo tatu za KILL...

Salim Mhina

Member
Apr 15, 2012
24
5
Msanii aliye katika nafasi ya juu katika medani ya music wa kizazi kipya (bongo fleva) Naseeb a.k.a Diamond ameibuka na tuzo tatu katika mashindano yanayoendeshwa na kuratibiwa na bia ya KILIMANJARO (KILL MUSIC AWARD).Tuzo hizo amezinyakua katika nafasi tofati ambazo ni:
1)Mchezaji bora wa mwaka jukwaani,
2)Mtunzi bora wa mashairi na
3)Video bora ya mwaka.
Msela kajitahidi sana na tunamtaka aendelee kukaza buti.Big up Diamond
 
wale wauza pombe ndo maana Tuzo yao ina puuzwa ! Ile ya mwisho ni ya upendeleo wa wazi kabisa, Barnaba anaweza kuwa overall ?
 
Back
Top Bottom