Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

WASWAHILI BHANA! si walisema
Kofi la mpenzi haliumi na msemo mweingine Mwanamke hupigwa upande wa khanga kutoka ktk misemo hiyo tukubali kuwa suala la mwanamke kupigwa linakubalika ktk jamii zinazofuata hiyo misemo mnabisha???????

wacha ujinga wako,pambafu!!!!!!!
 
Yana wema ..na urembo allopa kuwa nao ..hajawahi ku date mwanamume..hata mmoja wa maana".....Mimi mtu Kama diamond namuona Kama mswahili tu ....ni tofauti sana na wasanii wa nje ambao wanajuwa Kuishi maisha classic...na wanajuwa kuwekeza.....wasanii wetu wwnaridhika na vitu visivyokuwa na mshiko Kama pesa kidogo..,magari etc....hii huwasababisha kufilisika mapema....
 
Sukari sh 2500 kwa kilo.
Umeme wa mgao na ikija unaunguzama viombo vyetu.
Rais wetu hakai nchini.
Bunge linaanza wiki ijayo.
Akali za mabasi kila siku.
Mafisadi bado wapo.
Nakadhalikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Duu kumbe kuna vitu vingi vya kujadili!!!
 
wote wawili ni wendawazimu tuu na its just the matter of growth cycle.... tatizo hapa hata hivi vigazeti vya shigongo vinakuwa vinawapa upromo sana.....
 
umeshasahau kuwa hapo tayari kuna mimba ya miezi miwili..... duuuuuuu kweli ujana maji moto
 
Diamond na Wema ni binadamu kama binadamu wengine.....Matatizo katika mahusiano yao ni sawa na matatizo katika mahusiano/ndoa nyingi.. Hakuna anayependa violence katika mapenzi..lakini pia hakuna anayeweza kuzuia hilo zaidi yao hao wawili.

Bahati mbaya Diamond na Wema "indirectly" wanasaidia watu wengine kupata mkate wa kila siku kwa kufuatilia na kuandika hata mambo ya kipuuzi..na utumbo wa hao wawili...Na bahati mbaya Diamond akili yake inaendeshwa na hayo magazeti...ni kama hadithi ya "kuku na kifaranga"..

Young man..umechemsha mapema!
 
Mi wala cna shda akinipiga kimya ntamsubiria amelala ntakachomfanya hatakaa anyooshe mkono kwa mwanamke,

Ilitokea miaka zaidi ya 3,000 iliyopita......Jael na Sisera

Tissot_Jael_Smote_Sisera%2C_and_Slew_Him.jpg
 
Diamond na Wema ni binadamu kama binadamu wengine.....Matatizo katika mahusiano yao ni sawa na matatizo katika mahusiano/ndoa nyingi.. Hakuna anayependa violence katika mapenzi..lakini pia hakuna anayeweza kuzuia hilo zaidi yao hao wawili.

Bahati mbaya Diamond na Wema "indirectly" wanasaidia watu wengine kupata mkate wa kila siku kwa kufuatilia na kuandika hata mambo ya kipuuzi..na utumbo wa hao wawili...Na bahati mbaya Diamond akili yake inaendeshwa na hayo magazeti...ni kama hadithi ya "kuku na kifaranga"..

Young man..umechemsha mapema!

See there was this woman and there was this man
There was this moment they had a chance
To hold on to what they had
How could they be so in love and still never see?
Yeah we can get it back again
This woman, this woman and this man
Yeah we can get it back again
This woman, this woman and this man
 
Kama Rihhana?!

Jokes aside sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atakayoomba apigwe ili atokee kwenye magazeti

Watanzania tunatakiwa kuwa na ujasiri wa kufikishana kwenye vyombo vya sheria. Violence ya aina yoyote ile haikubaliki

Gee ujasiri ni jambo moja na utendaji wa vyombo husika ni jambo lingine.
mara nyingi sana kesi kama hii ukifika kituo cha polisi unaambiwa rudi mkayamlizie nyumbani...na hili limewajengea wengi mazoea kuwa ntamdunda na tukifika polisi tutarudishwa nyumbani tuje tumalizane.

Sasa hapo ndo itategemea kama unajua kukomaa ukomae na bondia wako. Lakini kwa mtazamo wangu domestic violence zimelelewa sana na vyombo vya dola kwa upande mwingine.
 
Wakati wa utoto wetu kulikua na kanga zimeandikwa hivi" Mke hapigwi kwa gongo ila kwa upande wa kanga" sidhani kama haya maneno siku hizi yana nafasi tena kwenye jamii yetu
 
Okay, I hear you, "sababu zenyewe zikiwa kama hizi "text" ndio hazifai kabisa kumpiga mwanamke. Kwa hiyo tuseme sababu gani labda unaona ni poa kumtwanga mwanamke for?

kama umenisoma vizuri nimesema "I hate domestic violence "
kwa hiyo kama umeelewa statiment yangu hapo juu utakuwa
umeshapata jibu la hapo red. na hiyo "txt " ni mfano nlioutoa
tu .. It can be any thing.. .....
 
kama umenisoma vizuri nimesema ...
Unajua katika lugha yetu ya Kiswahili unaposema"...tena sababu zenyewe zikiwa hizi za text" maana yake kutumia sababu za text kumpiga mwanamke ndio vibaya zaidi. Kwa hiyo, aidha umetumia lugha vibaya na imesababisha nia yako isieleweke.

Au kingine, ambacho ndio ulichomaanisha, ni kwamba kuna sababu ya kumtwangia mwanamke inayoweza kuvumilika vumilika. Ambayo hakuna. Hakuna sababu nzuri ya kumpiga mwanamke, na kitendo cha kupigwa kwa Wema Sepetu kilaaniwe, na ma Zinjanthropus wa kike na kiume wanaosafisha tabia hii na walaaniwe.
 
naona ni wewe tu hutaki kuelewa..
kwa lugha rahisi kabisa namaanisha ..
sipendi domestic violence ya aina yeyote..

tena sababu zenyewe zikiwa za ki ujinga
kama 'txt'...
 
moyo wanguuu eehhh moyo wanguuu, hata najuta kupeenda (diamond singing looooooooool) huu ujinga mtupu kama diamond kamchoka huyu binti si ampotezeeee tu mazima
 
Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua

ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi.

Chanzo kiliendelea kutambaa na mistari kuwa ilitokea purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia Mbwana Matumla kwa kupangua makonde ya Francis Miyeyusho kama alivyofanya wiki iliyopita pale Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Ilidaiwa kuwa staa huyo wa filamu hakufua dafu kwani Diamond alipeleka konde moja matata kama lile la Miyeyusho kwa Matumla hivyo kumwachia michoro ya makofi usoni huku akimsababishia mrembo huyo kutosikia vizuri hadi sasa.

Ina maana wamerudiana na kuanza kutwangana makonde? Haya kweli mashikolo mageni! Sie hebu tuendelee kutazama muvi hii maana inaelekea kutamu sasa!

Back
Top Bottom