Diamond Akifundishwa Kuogelea

Damn!!!!!what a body!!!!I'm so in luv with those six pacs!!! So kama kina Muuza Sura kushindia viepe
Tumbo kinyamwezi I must admit!kuwa na tumbo kama hilo siyo kazi rahisi ingawa inawezekana ila pia ieleweke kuwa na sura nzuri na muonekano wa kinyamwezi ni kitu hakiwezekani kama hujazaliwa na sura ya mauzo!!!sijawahi kuona picha passport size linapigwa tumbo bali uso!kipande ndo silaha ya mauzo!sura nzuri haipatikani gym wala hospital ila tumbo ni mazoezi tu na discipline ya misosi!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha saaafi mtoto wa Uswahilini na swimming pool wapi na wapi ?? Hongera dude He honesty na Maisha yake na watu wanaomzungua...amejifunza kingereza,amejenga,amenunua Gari na Sasa anajifunza kuogelea ...asome ata apate ata Kadegree tu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Muuza Sura mwambieni huyo Diamondo wenu, anapokwenda baharini au swiming pool kuna Surf wear, na siyo kuvaa hicho kichupi kikishalowana mapumbu yote yanaonesha ramani. huu ni ushamba.

503857.jpg
 
Last edited by a moderator:
Pool zetu hapa Bongo zimejaa uchafu tu. Unakuta masharobizi wanaogelea na boxer chafuu kinoma,huku wakiona ndio swagga hizo. Maboxer machafu mpaka yanazidi nguvu ya Chlorine,tunabakia kuoga mikojo na mauchafu ya watu wazima.

Kusema ukweli swimming pools za sehemu nyingi tu duniani huwa zina bodily fluids. Watu hutema mimate yao humo, wapo ambao hukojoa, wengine hupenga makamasi, na hata wapo ambao hutema makohozi yao.

Ndiyo maana mimi nimejipiga marufuku kabisa kuingia kwenye ma pool hususan yale ya umma.
 
Tumbo kinyamwezi I must admit!kuwa na tumbo kama hilo siyo kazi rahisi ingawa inawezekana ila pia ieleweke kuwa na sura nzuri na muonekano wa kinyamwezi ni kitu hakiwezekani kama hujazaliwa na sura ya mauzo!!!sijawahi kuona picha passport size linapigwa tumbo bali uso!kipande ndo silaha ya mauzo!sura nzuri haipatikani gym wala hospital ila tumbo ni mazoezi tu na discipline ya misosi!
Wivu huo!!!

Mwanaume asifiwi sura!!!
 
Ushamba ndo kama huo, kutoweza kutofautisha mavazi gani uyavae wapi
But ukiangalia kihalisia, wanaume when it comes tu kuogelea, ni tofauti na wadada. Kila mtu huwa anatoka kivyake. Huyu pensi, huyu tracksuit,yule boxer!!! Ni wachache wenye swimming costumes. Hapo mimi simshangai Diamond.
 
Hakuna anaesema avae vazi fulani mahsusi, kinachogomba hapa ni kutuvalia nguo ya ndani kama vazi la nje.
 
Kuna wanaotema mate na ku-blow up their noses! Unless its a private pool, waiiii! I love the ocean! Chlorine yenyewe mchina kachakachua, purchasing officer nae, na msafishaji si ajabu nae kachukua share! Niliwahi kaa kwenye pool bar ya wet and wild nikaona chura anaogelea kwa raha zake nikakoma! Hakuna chlorine hapo!
Pool zetu hapa Bongo zimejaa uchafu tu. Unakuta masharobizi wanaogelea na boxer chafuu kinoma,huku wakiona ndio swagga hizo. Maboxer machafu mpaka yanazidi nguvu ya Chlorine,tunabakia kuoga mikojo na mauchafu ya watu wazima.
 
Tumbo kinyamwezi I must admit!kuwa na tumbo kama hilo siyo kazi rahisi ingawa inawezekana ila pia ieleweke kuwa na sura nzuri na muonekano wa kinyamwezi ni kitu hakiwezekani kama hujazaliwa na sura ya mauzo!!!sijawahi kuona picha passport size linapigwa tumbo bali uso!kipande ndo silaha ya mauzo!sura nzuri haipatikani gym wala hospital ila tumbo ni mazoezi tu na discipline ya misosi!

Kwahyo Jamaa Kipande kime-shake? Hahaaaaa!
 
Kusema ukweli swimming pools za sehemu nyingi tu duniani huwa zina bodily fluids. Watu hutema mimate yao humo, wapo ambao hukojoa, wengine hupenga makamasi, na hata wapo ambao hutema makohozi yao.

Ndiyo maana mimi nimejipiga marufuku kabisa kuingia kwenye ma pool hususan yale ya umma.

Notice:
Pool is being chemical,do not swim

By:Management
 
Kuna wanaotema mate na ku-blow up their noses! Unless its a private pool, waiiii! I love the ocean! Chlorine yenyewe mchina kachakachua, purchasing officer nae, na msafishaji si ajabu nae kachukua share! Niliwahi kaa kwenye pool bar ya wet and wild nikaona chura anaogelea kwa raha zake nikakoma! Hakuna chlorine hapo!

Hiyo ndo mzuka, coz' ni natural!
 
Mie niliezaliwa Ocean road mbona sijui kuogelea....

Huwezi kujua kuogolea ikiwa wakati upo below 15 hujakaa maeneo yanayowezesha kuogelea....below tht age i'd be able kuvuka frm magogoni/ferry to kigamboni, lakini siku hizi labda nianze kula tizi mwezi mzima ndo nitaweza!
 
Back
Top Bottom