Diamond akataa hela ya Wema stejini...

yani usipowafahamu watu wanaofanya ujinga ujinga hapa mjini we ndio unaonekana mshamba mbele za watu. Lazima uwafahamu akina diamond, jokate, wema ili nawe uonekane mjanja.
Acha atambe ndo muda wake akifulia atasaulika

hee kumbe
 
Diamond aka tandale Copper!
Wema ni mzungu wa tabia..ila kweli ni innocent sichupid kwan amesahau kuwa
Bwa'mdogo mswazi kitabia af mzungu pori wa mavazi..teh teh itamuaibisha kwa muda,but itakwisha na kila mtu ataendelea na life lake meen

noma kweli
 
ah haha mkuu umeniacha hoi,hivi mume wa mtu nae proper choice??mimi naamini huyu binti anakapepo,watu wa mungu muombeeni huyu mtoto.

ah yule kicheche hawez kurekebishwa tena coz wazaz wake wenyewe washamshindwa,cku akiridhika na starehe za dunia atatulia mwenyewe doh!
 
Wema angeenda akatunza show kwa kuziweka pale mbele tu yangekua shwari, sasa plus umaarufu tena alitaka amtunze crowd ione nk. Ni kama amejitakia mwenyewe kujichoresha. Haikuwa na ulazima aende mbele unless for show off... #mtizamo tu.

akiweka mbele c raia watasepa nazo?!
 
Dogo ana talent na style yake ni unique, there is no doubt on that...Anachohitaji ni kupata nyimbo nzuri ambazo anaperform in a "natural flow kind of way"

Kuna nyimbo ambazo yuko able to expose his talent to the highest level, ie moyo wangu, na mawazo.

Halafu kuna nyingine inakuwa kama analazimishia, yani hakuna ile flow ambayo ni "catchy" na si natural ie haonyeshi "comfortability" all the way during performance.

Despite the fact that he is talented, he still needs to work hard, lakini kitendo chake kinaonyesha ameshaanza kubweteka kama kawaida kwa kidogo alicho nacho.Wengine wanaleta eti mambo ya uchawi, ujinga mtupu!

Kwanini asingewapa madansa wake hizo pesa kama hakuzitaka?Ama hawana shida ya pesa hao madansa?Akili za kitoto hapo kiaina...
 
kumbe wema ndo kamuweka kwenye chart diamond?>>>napita....

Na huyo Paxman azituzingue hapa japo baadhi yetu ni wazee lakini huwa tunafuatilia mambo ya vijana.

Diamond alipopata umaarufu ndiyo Wema akajipeleka, alipokuwa unknown Wema alikuwa na akina Kanumba.

Nakubaliana na yule aliyesema 'attention seeking...... simalizii'
 
...... hafu aka ka jokate kamekua kaswahili, wanasemaga taaarabu ni uswahili ila iyo show ilikua ni zaidi ya uswahili watu walijiandaa kurushana rohoooo, eti waliweka na aina ya mavaz a kuvaa wangesema na khanga pia ili warushane roho vizuriiii

Kimamii hivi wewe unatokea pori gani? Maana nyinyi wa porini mumekuja hapa uswahilini mukatukuta tayari tuna ustaarabu wetu, eti leo hii ndiyo nyinyi mumekuwa bora. Kha!

Mbona huwa hamutaki kurudi kwenu porini mukifika Dar munavamia mji na kujiona mumeendelea?

Samahani lakini.
 
Samahani lakini........ Umeshasamehewa bure
 
hemed kaingiaje hapa maana kama kutunza wema tunamsoma anatunza kila siku...au nae anajifananisha na Diamond nsicheke mie bure

hiyo show wema aliyemtunza hemed,TID nae alikuwepo!na katika watu wa mwanzoni kumkaa wema ni TID lakini kwa ujanja wa watoto wa kinondoni pesa alizotunza wema wanyamwezi walichukua bila mapozi!!!wa kiume huwezi kushindana na wa kike!diamond kamkuta wema anakimbiza na akifanya masihara atamwacha bado anakimbiza yeye anashikwa akili na maguberi ya town wakina mboni!!!bongo haina mwenyewe hii alikuwa mr nice,mr blue mpaka jembe TID leo wako wapi!mda wake utapita, na kibongo bongo madem ndo wanalindaga wanyamwezi wakiwa tengeru tee!
 
muuza sura unashawishika kijana alikataa pesa za yule binti kwa sababu ya wivu?
 
Back
Top Bottom