Diamond akataa hela ya Wema stejini...

its about tym wabongo tuache sifa za kijinga,diamond alienda pale kufanya show na si kupokea vijihela vya wema,alichotaka wema ni kuandikwa tena kwenye magazeti ya shigongo kwamba ana jeuri ya hela,kama alikuwa anataka kumtunza kweli angeweza akamtumia hata kwenye mpesa,big up diamond!
 
Diamond inabidi afanye kazi na asitake kujisikia na kuona ameshajulika,wakina Alikiba walikuwa hivi hivi kila kona Alikiba anafanya mashoo ya ajabu na makubwa sana,heshima ilikuwa hamna kabisa dharau nyingi sana,now anasikika?yupo lakini hamna kitu kuna wakina Mr Nice wako wapi??so dogo Diamond nakushauri acha mambo ya kijinga na acha kuringa fanya kazi mungu hapendi hivyo.
 
Diamond inabidi afanye kazi na asitake kujisikia na kuona ameshajulika,wakina Alikiba walikuwa hivi hivi kila kona Alikiba anafanya mashoo ya ajabu na makubwa sana,heshima ilikuwa hamna kabisa dharau nyingi sana,now anasikika?yupo lakini hamna kitu kuna wakina Mr Nice wako wapi??so dogo Diamond nakushauri acha mambo ya kijinga na acha kuringa fanya kazi mungu hapendi hivyo.

mh jaman kati ya wasanii wote waliopotea kwnye ramani aly kiba ndo wakumtolea mfano kweli??
 
Mashabiki watu! hili la tshirt limenishangaza sana hasa huyo aliyekuwa mstari wa mbele nalo ana undugu na huyo dada? kwanini diamond anawaendekeza watu wamuendeshee maisha yake namna hii? hata huyo wema cjui nikainnocent stupid! yani huyo aliyekuwa anamnanga diamond alikuwa anazuia bahati kwa wema na kutoa matangazo akiwa dubai na kuletewa viatu kwenye bog yake, hapa naona kaungana na jokate na timu ya matshirt! hawa wote ni watoto wanaendeshwa na watu waliozoea umbeya mjini dah!
 
Pole sana Wema Sepetu nina uhakika hauna haja tena na Diamond ila umeelemika kuliko huyu kijana mwenye shobo za ajabu.
Najua hata siku moja haikubalik mtoto wa kiume mwenye akili timamu kudengua. Eti anadengua wakat wa kaz..! shame on him na I am sure he is miserable 4 that.
Wema ni zaidi ya mwanamke hata udengue kafe mbele yani binti kama yule kakuweka kwenye chart hapa Tz unamdharau dat way?
Umekosa busara, huna fadhira, huna huruma tena ni katili sana wewe Diamond.
Binafsi umeniudhi na yeyote mwenye uelewa timamu umemboa.

Wema keep going usilie wala kuhudhunika. umeonesha ukomavu na IQ ya hali ya juu. Means Wema hana makuu, ana roho ya upendo, kusamehe na kusahau.

Daah pole Diamond for being too LOW.
 
Kinyamwezi angepokea halafu kama mikausho baadae!hizi ni dalili za wivu diamond kaonyesha cuz kabla wema hajaenda dubai katika show ya PHD alimmwagia sana hela HEMED, mastory yakamfikia nasib!!!hela haisuswi na demu si wa kushindana nae!!mistake kubwa anafanya platinumz

angechukua tu,dogo nae ****,hata kama hamtaki.angeichukua na kuwarushia mafans.
 
namtetea diamond.
kila mtu anajua wema hana kazi,pesa zake anapata kwa kuchuna mabuzi.
Sasa kweli diamond akubali pesa za x wake alizohongwa na wanaume zake?
diamond umefanya vizur kukataa pesa za wema za kuchuna mabuzi.
 
Wapo wengi sana huyo Aly Kiba akiwa mmoja wapo,nisaidie Mama nipe list nyingine plz


anatamba wimbo wake wa dushelele na katoa singo single boy,bado anapiga mashow ya kufa mtu...katika watu waliofulia huyu hukupaswa kumtaja...sababu bado yupo yupo sana,labda ni wewe ndio umejiweka mbali na entertainment industry hivyo hujui linaloendelea......
 
safi sana tujifunze kuheshimu wapenzi wetu tunapoachana nao sio maneno ya kashfa zisizo na kichwa wala miguu....angetulia kwenye kiti chake wala yasingemkuta sijui ana nini huyu binti

ana mapepo....
 
asante mkuu Yo Yo kutuletea stori za mjini...si unajua udaku unaongeza uhai(b'se unapata kucheka kidogo na kutabasamu)
 
Diamond mshamba, aache kutenganisha kazi na mapenzi. Wema amenunua ticket kama shabiki wake na sio kwamba aliingia bure kama mpenzi so aliwajibika kupokea.

lakini bado akili ya kuuza mitumba
 
namtetea diamond.
kila mtu anajua wema hana kazi,pesa zake anapata kwa kuchuna mabuzi.
Sasa kweli diamond akubali pesa za x wake alizohongwa na wanaume zake?
diamond umefanya vizur kukataa pesa za wema za kuchuna mabuzi.

hizo elfu hamsini alizopokea kama kiingilio anajua source yake kila mmoja alipotoa?
wema si anaigiza bongo movies au anafanya for free?
 
Back
Top Bottom