Diamond aihenyesha dunia inatetemeka pande zote ushaidi huu pichani

onlinenauza

Member
Oct 8, 2016
39
57
IMG-20161028-WA0002.jpg
 
Hongera Diamond na wanamuziki wote.Ila watuhhawana kazi nyingine jamani.Kama mgempigia kura namna hii angeshinda hakika.Na wewe Dai mimi kama dada yako siyo kila kitu uwwke kwa mitandao uwe na faragha basi.Kwetu uchagani watoto wakiume uwa awafanyi hivo.Ni ushauri tu
 
Huyu mleta uzi hivi anaijua dunia kweli,hebu aende afghanistan au urusi au iceland akataje hilo jina aone watamjibu nini halafu arudi hapa atuambie kama kweli dunia anaijua au la
 
Team tapili boko mchizi wa geto naona kama wameanza kusanda gemu
 
team KIBAka wanaanza kutokwa na povu..

anyway hongera diamond kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwakilisha Tanzania kimataifa
 
OTE="Ipycalypse, post: 18249266, member: 44658"]Afrika haipo Duniani?[/QUOTE]
Nisome vizuri kisha unijibu usichukue neno Afrika na kuuliza swali wakati mimi nimehoji BET/MTV Africa zina link vipi na Dunia kutetemeka
 
kweli shoo yake ilikuwa balaa zile moves kama usher raymond
team upinzani mtanisamehe tehe tehe tehe tehe
 
Hongera Diamond na wanamuziki wote.Ila watuhhawana kazi nyingine jamani.Kama mgempigia kura namna hii angeshinda hakika.Na wewe Dai mimi kama dada yako siyo kila kitu uwwke kwa mitandao uwe na faragha basi.Kwetu uchagani watoto wakiume uwa awafanyi hivo.Ni ushauri tu
Mziki ni biashara na biashara halali hufanywa kwenye hadhara, vilivyo vya siri huvifanya ambapo mimi na wewe hatuvifahamu ila tnavyoviona akivifanya hadharani tambua ni biashara
 
Back
Top Bottom