Diamond ahukumiwa kwenda Jela miezi 6; alipa faini!

angefungwa tu akae apate displin kiujumla tu ana mambo ya ajabu sana mtaani,ona tid alivotoka jela full respect,wasanii wetu hawa wengi wao ovyooo kabisa
 
Angefungwa kidogo ili akitoka atuimbie nyimbo za jela, tupumzike kusikia nyimbo za mapenzi kila kukicha
 
Kuna kitu cha kujadili hapa. Wasanii ni watu muhimu katika fani yao kwa jamii. Wanachoshauri , kuhimiza, kutahadhalisha na mengineyo wanatakiwea kuwa mfano kwa matendo yao.

Vyombo vya habari vinafanya kazi kubwa pia kukuza na kutangaza kazi za wasanii, iweje waanza kuvishambulia wakati vyombo hivyo vikiwa kazini? Ni swa na polisi anapolinda usalama wako we unamsahambulia..

Cha ajabu hakuna taarifa ya kulipa gharama za uharibifu wa vyombo vya mwanahabari, wamepata adhabu ya kifungo cha mielzi 6 kama hawatalipa faili hiyo. Inatakiwa walipe gharama ya vifaa vya mwandishi walivyoviharivu, ndio maana anakusudia kukata rufaa mahakama ya juu zaidi.

Halafu kwa kuongezea, wasanii wa bongo inabidi wakatwe makali ya uhalifu mapema.
Wanakuja juu sana kama huko USA.. usanii/umaarufu = UHALIFU.Sisi ni Watz bana, historia yetu haiko sawa na wenzetu blacks kule wanafanya statement flani kuhusu maisha yao.
 
Angefungwa kidogo ili akitoka atuimbie nyimbo za jela, tupumzike kusikia nyimbo za mapenzi kila kukicha

Hahaha. . . Akitoka huko ataimba alivyokosa mapenzi/miss mpenzi wake, wafungwa wengine wanavyopendana, alivyosalitiwa huku nje na mpenzi. . . .na kuendelea.
 
No no no FRANCIS usikubali kabisaaa .Mi nashauli waandishi wote wahabari mmungane na kusimamia kucha mpaka kieleweke wamezoea sana hawa kuwazalilisha waandishi wa habari haiwezekan mafixadi wa ccm wawanyanyase na kuwazalilisha na hawa vimbora/vimburumatari wabana pua wawazalilishe mtoto huyu ni kimbora sana mafanikio kdg kesha jaa misifa kibao.
Asha sahau kuwa bila waandish wa habari leo hii asingekuwepo hapo alipo.
Inabidi huyu wamfunge ndiyo awe fundisho kwa wengine woote.

Mafixadi wa ccm waogopwe pind wawatishapo waandishi na haka kasenge nako kaogopwe ??
 
Ujinga mtupu kwenye hii thread! Wewe Candidscope kama ndo francisgodwin tafuta namna nyingine ya kuutangaza mtandao wako

Duh! Members wengine hapa wanatuvunja mbavu kila kukicha.
Huyu Mzito Kabwela kaja leo na la Candid Scope ni mmilikiwa mtandao wa Francis Godwin na ndiye anayemwaga story hii hapa kutangaza mtandao.
Mwingine siku chache kaja na mpya yake eti Candid ni Mbunge wa Ludewa Mheshimiwa Deo Filikunjombe Haule, sasa tushike lipi? Nabaki kuwatazama na mahangaiko yao, wenye kujali tunayojadili tuko pamoja hatuhangaishi mbongo. Kuna kitu ambacho labda wanashindwa kuelewa uandishi wa huyu Candid.
 
No no no FRANCIS usikubali kabisaaa .Mi nashauli waandishi wote wahabari mmungane na kusimamia kucha mpaka kieleweke wamezoea sana hawa kuwazalilisha waandishi wa habari haiwezekan mafixadi wa ccm wawanyanyase na kuwazalilisha na hawa vimbora/vimburumatari wabana pua wawazalilishe mtoto huyu ni kimbora sana mafanikio kdg kesha jaa misifa kibao.
Asha sahau kuwa bila waandish wa habari leo hii asingekuwepo hapo alipo.
Inabidi huyu wamfunge ndiyo awe fundisho kwa wengine woote.

Mafixadi wa ccm waogopwe pind wawatishapo waandishi na haka kasenge nako kaogopwe ??


Kweli kabisa umenena, hatua madhubuti zisipochukuliwa hawa wasanii wataendelea kudhalilisha jamii, media nk. Tunahitaji kuwathibiti hadi wanakuwa na ustaarabu wa usanii wao ndipo wanaweza hata kufika mbali zaidi, lakini hii ya utovu wa nidhamu hurudisha nyuma maendeleo yao.
 
afungwe bana tulikaimu lile dubwana lake ....nagongana nalo kila siku kwenye chipsi pale kwa hamijei madukani...sasa dogo anakaba sana ....apigwe mvua watu tujipindue kama DEMBA BA....
Ukaimu na Ugonjwa vilevile, kwa namba zilizopita pale sina uhakika na uzima wa yule dada!!
Unaweza kujipindua bila kujijua kua uko golini kwako so matokeo yake ukajifunga mwenyewe (OG)
 
kwa habari nyepesiii nilizo kuwaa nazo kijana platinamuuuuu ma almasii kapigwaaa jelaaa MIENZI SITAAAA KWA KESIII HIYO.mwenye information zaidi atupe
 
Huyu kama TID ataishia jela kwa vile amekiuka matakwa ya mwalimu wake wa madrasa
 
Hata mi nashangaa... huyu mtu mwenyewe anaonekana amechokachoka tu... anakupigaje?
Kaka kiswahili kigumu sana. Mimi nadhani neno sahihi kutumika kwenye kesi kama hizi ni kushambuliwa. yaani ingebidi isomeke hivi, "Msanii Diamond aswekwa rumande kwa kumshambulia mwandishi wa habari" kwa sababu saa nyingine unaweza usipigane na mtu kwa maana ya kujibu mapigo siyo kwa sababu huna uwezo huo ila inawezekana ni kutokana na ustaarabu ulionao.
 
Wakuu leo asubuhi kabla ya kupata kifungua kinywa kwakujiandaa kwenda job nilisikia kwenye redio one nipashe kua yule muimbaji wa nyimbo za kizazi kipya namzungumzia Diamond kua eti kahukumiwa kwenda jela miezi 6! Jamani kuna mtu mwenye hizi taarifa kwaundani zaidi tupate kujua?
 
Ngoma ikivuma sana............................................!

Hata hivyo ameponyeka baada ya kulipa faini ya sh. 50,000 na fidia ya jumla ya sh. 90,000 yeye na wacheza shoo wake.



 
Jamani ebu wacheni kufurahia matatizo yawenzenu,msisahahu kua na nyie pia na binadamu. kama amekosa wajibu wake kutumikia kosa alilofanya lakini sio vizuri kushadidi......
 
Back
Top Bottom