Ukiwa unaenda mwenge kutokea kariakoo,,,ukifika ITV 'UNAWEZA KUSEMA UMEFIKA MWENGE',
Hata kwa Wema alisema amefika. Tusubiri muda.
Hata kwa Wema alisema amefika. Tusubiri muda.
Naomba kuuliza tu, kwakuwa kuuliza si ujinga. Hivi kwanini haka kajamaa kanapenda wanawake wanaokazidi kimo? (nina maana ule urefu wa kwenda juu).
Amesahau kuwa alisema kwamba Wema kamfundisha ung'enge? kila mwanamke ana mabaya na mazuri yake, kama kweli yeye ni mwanaume wa shoka asema ubaya mabaya ya Jokate sasa hivi, asije kusema pale walitakapomwaagana.... utaiskia eeeeh anakojoa kitandani.... teh teh teh
Becausse Upstars Empty na hana usomi wowote zaidi ya kukalili na kufaulishwa mitihani kwa rushwa za ngono, hakuna msomi anayeweza kufanya madudu kama haya.hata mie nilikuwa namkubali sn huyu dada but kuangukia kwa dogo kama huyo ni aibu sn dada ni msomi, mrembo upstears yuko safi why?
Ss nimeamini ule usemi usemao mwanamke anaakili kama kuku, Huyu dada nimemshusha sn sn.
wanaume wa diaini hii ndio wanasababisha jina la 'gumegume' wanaanzaje kumponda mwanamke uliyekuwa naye zamani?! Na huyo uliye naye sasa hivi mkikosa naye uponde! -off topic- hivi hakuna mtu anaweza kumshauri mama diamond amrudie mungu? (aanze toba) yuko magharibi sasa jua ndio hilooo linachwea lakini bado kuongoza na kijana wake kila mahali! Mademu wa kijana wake wote anawajua!! Aibu gani hii kwa mama mtu mzima?!
Jokate ana akili sana. Diamond, mbele ya mama yake, alikula kiapo kwa kutaja jina la Mungu kuwa kwa Jokate amefika na hatarajii kuachana naye.