Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Status
Not open for further replies.
Hawa vijana hawanyimwi ruhusa ya kusali, wanachodai wanataka serikali iwanjengee msikiti hapo shuleni kwasababu wakristo wana kanisa tena kubwa, wanasahua kuwa kanisa hilo lilijengwa kabla shule hiyo haijataifishwa na serikali

Sio kuwa kanisa lilijengwa kabla shule haijataifishwa, bali Kanisa ndio lililojenga hiyo shule yenyewe. Na cha kushangaza, hamna hata mmoja wao anayetaka kufuatilia uhalisia wa haya mambo zaidi ya kuongelea kama matatizo ya ukewenza. Roho ya manung'uniko na kutopenda kufikiri inawajaa mpk wanashindwa kutambua kuwa wana wajibu wa kufanya mambo yao kwa taratibu zaidi ya kudai haki pasipo na majasho yao.
 
udini... Udini...Udini.Tumechoka kila uchao ni waislamu wanalalamikia hili mara lile.Hivi hakuna la kufanya zaidi ya kulalamikia mambo yasiyo na msingi wala mashiko?Kama tatizo ni ufurukutwa na ukereketwa wa dini si mkalale misikitini?na kusomea huko madrasa.
Kama elimu imekushindeni kajaribuni ujinga huwenda unalipa zaidi kuliko elimu:A S 465:.Hao viongozi wakuu wengi wa nchi hii mbona hawakulalamika japo wamesoma ktk shule za Wakristo na vipindi vya dini ya kikristo wamehudhulia na bado wanaendelea na dini zao,wameathirika nini?Ninyi hamkatazwi na mtu yeyote kusali ila mnafikilia kufanya fujo zaidi kuliko kitu kingine chochote ktk maisha yenu sidhani kama mafundisho yenu yanasema hivyo.
JF sio sehemu ya porojo ebu wataje majina yao...zaidi ya hapo utakuwa unaleta mipasho JF:A S-coffee:
 
11 Pia malaika wa BWANA akamwambia:
"Wewe sasa una mimba
nawe utamzaa mwana.
Utamwita jina lake Ishmaelia,
kwa sababu BWANA amesikia juu
ya huzuni yako.
12 Atakuwa punda mwitu katikati ya wanadamu, mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu na mkono wa kila mtu dhidi yake, naye ataishi kwa uhasama na ndugu zake wote.''

(Mwanzo 16:11-12)



 
kwani yale maandamano ya tarehe 23/12/2011 ya kupinga mfumo kristo yaliishia wapi? labda kwa wale ambao hawaelewi kinachoendelea ningependa nitoe darasa kwa faida ya wengi, ni kwamba tangu Al qaeda account zao nyingi zitaifishwe misikiti imekosa wafadhili, ndio maana wale waliozoea misaada ya waarabu wanatafuta namna yoyote ya matukio ili wapate DVD za kuwatumia wafadhili wa kiarabu ili kuonesha kwamba Uislamu unakandamizwa Tanzania ili wapate kupewa misaada ya kipesa za kugharamia Jihad. huu ndio ukweli wenyewe mengine yote ni porojo.

Wakati wakristo wao huko Tanzania wanakwapua Bilioni 91 kila mwaka kutokana na MoU ya Serikali ya Muungano na Kanisa.

 
Hao wanafunzi waislamu wapewe haki yao maana wakatoliki wamezidi kutuonea sisi madhehebu madogo ya kikristo na hao waislamu.

Wewe ndio mgonjwa kabisa, tena very pathetic. Nyie wasabato shule zenu ndio kichefuchefu kabisa, ikifika j'mosi kila kitu chini, torati inafanya kazi yake, uwe msabato au siyo wote ni kuimba na kulala tu. Marufuku kujisomea
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom