Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Status
Not open for further replies.
tunazo taarifa za uhakika ambazo zinaonyesha mwalimu mkuu mpya aliyepelekwa ndanda kuwanyanyasa vijana wa kiislam na kufunga chumba wanachofanyia ibada na kujitapa kwamba serikali imetaifishha majengo lkn ardhi ni ya kanisa na hawana haki yoyote ya kiimani wakiwa ndani ya shule. Hii haikubaliki.
Hapo kwenye red ni wewe na nani?
Zingatia matumizi ya umoja na wingi/singular and plural.
 
we piga kelele lkn tayari ma RPC nchi nzima wana barua za kutoa vibali juu ya mgomo na maandamano endelevu. Wakubali kutoa vibali au wakatae na serikali ijiandae kufunga shule na vyuo vyote ili waislam wote wafukuzwe halafu tuone kitakachofuata. Tayari sura zetu zimejiandika ''INNAKA MAYITU, WAINNAHU MAYITTUUN''.

.....kama walivyo makureshi wengi(........) alikuwa hakusoma yaani hauji kusoma wala kuandika , kazi yake kubwa ilikuwa "kuhamasisha watu kwenda kupigana bila kufikiri"
Kweli wewe mfuasi wake.....nenda kapigane bila kufikiri.....amini bila kufikiri n.k
 
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.

Juzijuzi mlitaka kuandamana kupinga MOU, matokeo yake viongozi wenu wakagundua madai yenu ni ya kitoto na mkashauriwa muandae miradi ya maana ili muweze kuwezeshwa na serikali na kuacha wivu usio na msingi. Hili nalo litawachoresha.
 
Aya za shetani zilizoletwa na Marehemu aliyepo Jehenamu anaesubili kuhukumiwa kwa makosa ya kubaka vibinti vya miaka 9.

Acha kutukana dini dini za watu wewe pambaf.Bora ungenda wewe regia abaki manake wewe ni mzoga unaosubiri kunuka
 
Peter Arnold (spika), Mwakyusa Daniel (Waziri wa Taaluma), Masiga Gulatone (Naibu waziri wa taaluma), Naftal Daniel (Waziri wa mikopo) na Garubindi Gaston (Mwenyekiti wa Shule ya sheria).
MAJINA HAYA NDIO YALIYOWAPAGAWISHA CHADEMA NA WANAHARAKATI, TAMWA,YANGALIKUWA AMINA,FATMA, WANGALIPIGA ENGEZA WENGINE KUFUKUZA.
Consult your dictionary nini maana ya credible source alafu ndo unijibu nilichokuuliza.
 
NAWATAKIA MGOMO MWEMA

halafu hawa ndo wasomi.....
ndanda kanisa lilijengwa enzi hizooooooo
leo kila shule wakitaka kujengewa makanisa na misikiti si itakua shughuli

hebu someni, Mungu popote ukimuomba anakusikia kikubwa ni imani yako tu.....

oooh niwakumbushe tu, mgome au msigome, muandamane au msiandamane.... mitihani ipo palepale...........

akili vichwani mwenu,,,,

Tatizo wengi hawafahamu historia, wamekuta tu shule zipo na majengo yapo. Shule hii naifahamu ipo ndani ya eneo la Abatia ya Wamisionari Wabenediktini Ndanda (OSB - Order of St. Benedict). Shule hiyo ilijengwa na Watawa Wakatoliki Wabenedictini Kutoka Ujerumani na Uswis na kuendeshwa nao, na kanisa linalozungumziwa lipo ndani ya eneo la shule lilijenga sanjari na majengo ya shule. Ingawa shule hiyo ilitaifishwa na kuendeshwa na serikali, lakini bado ina mapokeo ya waazishaji.

Ni kitu cha kawaida shule kama hizi kukuza na kuenzi waanzilishi na moto ya shule iliyokuwa nayo tangu awali. Si jambo la kuanza kulalamikiwa na waislamu kwamba nao wajengewe msikiti katika eneo la shule vinginevyo shule zote Tanzania zitahitaji kujengewa misikiti na makanisa mashuleni. Kinachoangaliwa kuyaenzi yaliyoanzisho ambayo yanatunza historia ya shule, vinginevyo ni uelewa finyu wa baadhi yetu kufikiria kama walivyozoea kusema kudhulumiwa.

Mbunge Januari Makamba alipokuwa Marekani amesoma shule kama hizo za Wamisionari Watawa (wamonaki) Wabenediktini, napengine alishirika hata baadhi ya vipindi vya dini na wala hakuathirika na leo anaendelea na dini yake bila shida na anashukuru ilmu aliyopata huko na amewahi kueleza kwenye jukwa lake la face book kuhusu dhana hiyo, na kwamba mabarother waliomlea walimsaidia mengi sana wakati wa mwanzoni akiwa na dhiki ya kukamilisha usajiri na karo. Hali kadhalika viongozi wengi tu wamesoma shule za dini tofauti katika ujana wao na leo wengine ni wakulu wa nchi hii, wangefikiria kama wanadhulumiwa leo hii wasingekuwa kama walivyo, ila walijua kilichowapeleka pale ni ilmu si udini. Walimu wao pia walijitahidi kuwamegea ujuzi bila kinga ya dini ila tu jinsi kila mmoja alivyokuwa na ushindani wa kuipata aliifaidi na ndicho tunachotaka.
Umenena vema Mkuu lakini hapo kwenye alama... labda kama nimekuelewa vibaya kuwa na wewe unamaanisha kuwa kanisa lipo ndani ya shule, kanisa la Ndanda halipo ndani ya eneo la shule. Mimi nimesoma hapo O level. kanisa lipo nje kabisa ya eneo la shule
 
Hiki ni kizazi cha wavivu wa kufikiri na badala yake kutafuta sababu zisizo za msingi. hata wewe uliyeandika nadhani umeshindwa kufikiri. unaonaje wakristu wanosoma chuo kiku cha kisilamu morogoro wakagoma ili wajengewe kanisa? maamuzi yenu hayana utashi hata kidogo. andamaneni kwa vile hata JK nae wenu labda atafuata itikadi za dini yenu.
madai mengine ni aibu hata kusimulia
1. Tunataka mahakama ya kadhi. Hamjanyimwa kuunda ila ugomvi mnataka serikali agharimie. Hiyo dini ni ya serikali?
2. nchi ijiunge na OIC. Akili zenu zinaamini kuwa wote humu wanapaswa kuwa waisilamu.
3. Mnataka serikali iingilie kati ili kuwe na usawa wa vyuo vikuu. Wakristu walijengewa na serikali?
Endekezeni uvivu ili mtegemee ujamaa unarudi na vivyo mali za wakristo zitataifiswa ili mje kudai misikiti kwenye vyuo vya wakristo. Shameful.

Jitahidini kusoma angalao mpate utashi wa kufikiri na kutoa maamuzi yaliyo sahihi
 
Juzijuzi mlitaka kuandamana kupinga MOU, matokeo yake viongozi wenu wakagundua madai yenu ni ya kitoto na mkashauriwa muandae miradi ya maana ili muweze kuwezeshwa na serikali na kuacha wivu usio na msingi. Hili nalo litawachoresha.

cheza na kila kitu lkn si vijana. Na kwa taarifa yako serikali inaendelea kuomba tulimalize kwa amani, mkuu wa mkoa wa mtwara halali ushngizi anaomba vijana waandika barua za ku appeal ili awarudishe kinyemela. Tunasema NO. Serikali ikitaka twende mezani tufanye makubaliano. Full stop.
 
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.

Ok..! Unajua DAWA ya hili ni kuzirudisha shule za namna hii kwa waliozianzisha, yani kama ilikuwa ya WAISLAM warudishiwe vilevle kama WAKRISTO serikali itaepusha migogoro ya hivi in future...........
 
shule ya ndanda ilikua chini ya kanisa na sasa imechukuliwa na serikali hivyo dini zote zinapaswa kupewa eneo na uhuru wa kuabudu. Hakuna vipindi vinavyoingiliana na muda wa ibada. Ndugu yangu tunazungumza uhakika. Wacha serikali ipuuze itakuja kuamua baada ya madhara kutokea. Hizbullah ni jeshi la mungu.
Madhara yatakayotokea ni watoto wenu kufukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu.
 
Duu mi nadhani kuna vitu vya maana vya kujadili mara mia elfu ya hili la Ndanda? Waacheni MS na wenzake wapange mikakati yao maana watashindwa mara mia elfu kwa hilo....... Guys you have to open your mind real.....MS na wenzako kila mahili dini dini dini!!!!!!!
 
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.
Tatizo la shule ya Ndanda ni wanafunzi wachache sana wa kiislamu ambao wanachochewa na watu wanaojiita waislam wenye itikadi kali. Shule ya Ndanda tangu iingie mikononi mwa serikali imekuwa na wanafunzi wakiislam ambao wamesoma hapo bila matatizo yoyote. Tatizo lilianza mwaka 2010 wakati wanafunzi wakiislamwachache walipoanza kukataa utaratibu wa kuchagua viongozi wa shule kwa mtindo wa kupiga kura na kutaka wateuliwe kwa misingi ya dini zao. Mwaka 2011 wakadai wajengewe msikiti shule hapo. Baadae wakaanza kutoroka usiku kwenda kwenye mihadhara ya kidini kwenye miskiti iliyo nje ya shule. Na wakaanza kukata kufanya kazi za shule kwa kisingizio cha kutotaka kuchanganyika na wanafunzi wasio waislam ati ni makafiri. Mwisho wakaandamana kilomita40 kwenda Masasi kuonana na mkuu wa wilaya. Walishauriwa warudi shule wakafuate taratibu za shule wakati tume ikifuatilia madai yao, lakini waliporudi shule wakaendeleza harakati zao na kutishia kuwauwa wanafunzi wenzao amboa hawawaungi mkono. Shule ilifungwa kuepusha dhahama hiyo. Bodi ya shule ili kaa na kutafuta ufumbumbuzi, ikiwa ni pamoja na kuwafukuza shule wanafunzi walioonekana na makosa, na kuwapa fomu ya kuwataka wanafunzi kuahidi kufuata taratibu za shule wawapo shuleni hapo. Wanafunzi waliofukuzwa walipewa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya adhabu zao kwa vyombo husika. Sasa;

  • Kwanini watu kama Ugawafisi, Barubaru na Maralia sugu wanakuja na kauri za uchochezi na upotoshaji hapa jamvini?
  • Je ni kweli uislam ni kutofuata taratibu za shule na taasisi nyingine halali?
  • Mkuu wa shule amekuwa muungwana na mvumilivu sana dhidi ya vitendo vya hovyo vya wanafunzi hao kwani hata walipokiuka kabisa taratibu aliendelea kuwasihi na kuwashauri wafuate taratibu. Kwamfano wanafunzi waislamu walikamatwa na polisi usiku wakitokea kwenye mihadhara nje ya shule, bado mkuu wa shule hakuwafukuza shule!
  • Shule ya Ndanda ilitenga chumba maalum kwaajili ya kuabudia wanafunzi wa kiislam kwa miaka yote tangu shule itaifishwe, sasa haya madai ya kujenga muskiti yanania gani kama sio uchochezi na usumbufu?
  • Kwa nini wanafunzi wa kiislamu wanadai kuwa wanabaguliwa na kuonewa wakati wao wenyewe wanawakataa wanafunzi wenzao wasio waislam nakuwaita makafiri?
  • Wanafunzi wakiislam hawajawahi kuzuiwa kuabudu shuleni na nje ya shule, sasa haki wanazodai ni zipi?
  • Elimu bora hupatikana katika mazingira tulivu na ya amani na kufuta taratibu muafaka na sio vinginevyo.
Nawashauri wanafunzi waislam, wazazi wao, waislam wanaoamini kwamba vijana wao wanaonewa wachukue hatua muafaka za kukata rufaa ili vyombo vya kisheria vifuatilie. Lakini maandamano, vitisho na vurugu hakika havitawarudisha vijana hao shuleni hapo. Watakuwa wamepoteza nafasi yao ya masomo na hawatafanya mitihani ya kidato cha sita 8/2/2012. Maelezo wanayoto wanafunzi hao sio ya kweli. Wanamdanganya hata Mungu wao wanao mwabudu!
 
huu ni upimbi,hivi niambieni shule gani ya kiislamu;jumuia Tanga,Kinondoni muslim na nyinginezo kuna ambayo imejengwa kanisa ndani yake?wanafunzi wakristo hawasomi humo?mbona wao hawadai kujengewa kanisa au kwa vile dini yao siyo dini ya fujo?angalieni shule ya ndanda imejengwa katika eneo la Abasia ukielekea juu kutoka hospital kwenda printing press na chemchem upande wa kulia ni kanisa,Abasia,Ndanda girls hostel na viwanda na upande wa kushoto ni shule na mahakama vimetenganishwa na barabara.Kanisa halipo shuleni lipo nje ya eneo la shule,kudai msikiti ndani ya shule mwisho mtadai wamisionari wasifuge nguruwe katika eneo lao ambalo si mbali na shule tena ni kuvuka mto tu.Mkumbuke miaka ya 1980 mwishoni hapo Ndanda kulitokea mgogoro kama huo waislam walitaka kwa nguvu kujenga msikiti katika eneo la shule ya msingi Ndanda ambayo iko katika eneo halali la Abasia pamoja na wamisionari kuwapa eneo jingine na kuahidi kutoa vifaa na msaada wote wa kiufundi na gharama. Wakafanya maandamano na zikiri lakini FFU walifanya kazi na mahakama ikatoa hukumu wakapigwa chini nakumbuka waziri wa mambo ya ndani alikuwa Muhidini Kimario alikuja pale.Tumieni busara mambo ya kulazimisha hayana faida,hawa wenzenu wanatumia akili sana na umakini ktk mambo yao,shule inaendeshwa na serikali lakini eneo ni la kwao kwa hati miliki zote bado hamuwezi kuwalazimisha kujenga wasichokitaka.
 
hivi nyie hamjawazoea tu hawa ndugu zetu? rais wao. makam wa rais wao.mkuu wa jeshi la polis wao.waziri wa elimu wao.nathani na jaji mkuu wao bado wanpiga kelele kweli pipa lisokuwa na mafuta linavuma nimeamini
 
cheza na kila kitu lkn si vijana. Na kwa taarifa yako serikali inaendelea kuomba tulimalize kwa amani, mkuu wa mkoa wa mtwara halali ushngizi anaomba vijana waandika barua za ku appeal ili awarudishe kinyemela. Tunasema NO. Serikali ikitaka twende mezani tufanye makubaliano. Full stop.
Vijana wasio na hoja ni wapuuzi, hakuna atakayefumbia utovu wa nidhamu kwa kuogopa maandamano au jihad, kuwafukuza wanaovunja taratibu za shule ni kurejesha amani shuleni hapo. Tafuteni hoja nyingine hii mnajichoresha kwa kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom