Dhifa ya kitaifa kwa mwana wa mfalme ikulu ya tz, ktk picha

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
253
35
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akinyanyua glasi juu kuwatakia afya wageni wake na msafara wao.​
Makofi baada ya hotuba ya Rais.​
Prince Charles akisoma hotuba yake.​
Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema.
 
Back
Top Bottom