Dhidi ya VVU

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Wadau nahitaji kujua. kondom ina mafuta yake lakini inafika wakati wa "tendo" hayo mafuta yanakauka kabisa na inakuwa hatarishi kwa pande zote. ukitumia petroleum jelly (mafuta ya mgando), kondom inachanika vibaya sana! wanasema mafuta mazuri ya kutumia juu ya kondom ni ya maji na yasiyo na petroleum. sasa ni mafuta gani hayo na yanapatikana wapi?
 
Muulize Masanilo mzee wa tiGO atakuwa anajua jelly hio
 
Oyaaa kama uko nje ya bongo tafuta Astroglide Liquid ama K-Y Jelly sawa mazee!
kwikwikwikwi mziwanda uanmsoma Masa?

mie sijui lakini hizi jelly haziwezi kufanya uke kuharibika what i know zina chemicals
 
HUKU NIKOKUJA NIMEPOTEA, NGOJA NITOKE NIWAACHIE WENYEWE....! et MASA... NI MZEE WA MTANDAO?
 
Ndugu yangu tumia KY Jelly...zinapatikana pharmacy zote kubwa nchini acha yale ya dawa bariiiidi!!! Wasiwasi wangu wasije wakadhani unaenda kumkimbiza mtu!!!
 
kwikwikwikwi mziwanda uanmsoma Masa?

mie sijui lakini hizi jelly haziwezi kufanya uke kuharibika what i know zina chemicals
Hata chumvi ni chemical mzee, ili mradi zisiwe na madhara kwa binadamu.
 
hamna noma wakuu maana ni kuelimishana tu. hofu ndio hiyo kwamba ukienda watahisi ni mzee wa tigo kumbe "mpwa nina nia njema ya kuinusuru afya yangu na wengine pia" Nitacheki na hizo pharmacy. kwani nyie huwa mnatumia nini?
 
Back
Top Bottom