Dharau dhidi ya fikra za baba wa taifa-haya ndiyo majibu yake

TATOO

Senior Member
Jul 1, 2012
113
21
Kwa ule ubinafsi na dharau kwa viongozi wa taifa hili dhidi ya fikra za mwalim nyerere haya mafujo na vurugu za waislam ndio majibu na laana za baba wa taifa alizolaan kwa wale watakaoshindwa kutimiza wajibu wao wa kutokemea matukio ya udini na ukabila mapema na kwa nguvu yote kama viongozi wa nchi...mwalimu alisema atakayekwenda kinyume na misingi ya katiba na taifa hili kwa ubaguzi wa udini na ukabila laana imtafune kwelikweli...ndo haya leo yanatokea,jaman viongozi wetu rudieni kauli za nyerere....hayati baba yetu
 
Hii hali ya fujo imesubiria kipindi ambacho wananchi tupo kwenye maombolezo ya wiki ya kifo cha hayati baba wa taifa,mwalim nyerere...........R.I.P MWALIM
 
Kwa ule ubinafsi na dharau kwa viongozi wa taifa hili dhidi ya fikra za mwalim nyerere haya mafujo na vurugu za waislam ndio majibu na laana za baba wa taifa alizolaan kwa wale watakaoshindwa kutimiza wajibu wao wa kutokemea matukio ya udini na ukabila mapema na kwa nguvu yote kama viongozi wa nchi...mwalimu alisema atakayekwenda kinyume na misingi ya katiba na taifa hili kwa ubaguzi wa udini na ukabila laana imtafune kwelikweli...ndo haya leo yanatokea,jaman viongozi wetu rudieni kauli za nyerere....hayati baba yetu

Hawa watu bado wajiiiiga kwelikweli, huyu ni baba na mwazilishi wa udini Tanzani, kwa taarifa yenu "Honeymoon period is over"!!
 
moto wa milele umchome baba wa makafiri Mwl Nyerere bila yeye tusingekuwa na dhulma ktk nchi yetu (amiiiiiiin)
Kwani wewe ni Gibril? Utashangaa ukimkuta mbinguni amekaa mkono wa kuume wa St. Paul wakibadilishana mawaidha.
Wewe ndiye huenda ukaishia jehanum kwa roho yako mbaya.
 
kwa ule ubinafsi na dharau kwa viongozi wa taifa hili dhidi ya fikra za mwalim nyerere haya mafujo na vurugu za waislam ndio majibu na laana za baba wa taifa alizolaan kwa wale watakaoshindwa kutimiza wajibu wao wa kutokemea matukio ya udini na ukabila mapema na kwa nguvu yote kama viongozi wa nchi...mwalimu alisema atakayekwenda kinyume na misingi ya katiba na taifa hili kwa ubaguzi wa udini na ukabila laana imtafune kwelikweli...ndo haya leo yanatokea,jaman viongozi wetu rudieni kauli za nyerere....hayati baba yetu

yeye ndio chanzo cha yote haya yanayoendelea... Kama sio yeye kuanzisha mfumo kristo hii nchi ingalikuwa shwari...laana ya mwenyezi mungu iwe juu yake.
 
Back
Top Bottom