Dhana ya ulumbi, msimbo na launi?

Haya bhandugu! Ulumbi ni hali ya mtu kufahamu lugha zaidi ya moja kwa ufasaha, msimbo ni namba, herufi au mchanganyiko wa vyote, katika muktadha maalum, hutumika kuwakilisha dhana fulani. Mfano:KJ511 kuwakilisha KIKOSI CHA JESHI NAMBA 511. Hiko cha mwisho mpaka nipekue makamusi yangu!
Naomba kuwasilisha....
 
Sasa umetuuliza swali utupime kama unajua au! kama huyajui umejuaje ni kiswahili ....tena sanifu ! acha ushalobaro bana!

Ndugu, unaweza kuona neno katika maandishi rasmi ya lugha fulani, ila usielewe maana yake, pamoja na kuwa na uhakika ni neno la lugha hiyo. Sawa?
 
Haya bhandugu! Ulumbi ni hali ya mtu kufahamu lugha zaidi ya moja kwa ufasaha, msimbo ni namba, herufi au mchanganyiko wa vyote, katika muktadha maalum, hutumika kuwakilisha dhana fulani. Mfano:KJ511 kuwakilisha KIKOSI CHA JESHI NAMBA 511. Hiko cha mwisho mpaka nipekue makamusi yangu!
Naomba kuwasilisha....

nimekukubali, we ni mkare
 
Mlumbi- a linguist, mtu anayejua miundo ya lugha (asili, mofolojia, sintaksia, fonolojia, semantiki) ni tofauti na mtu anayejua kuzungumza lugha nyingi(multilingual),.........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom