gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Nadhani wanawake wengi pia wanalazimika kubaki kwenye mahusiano kwa sababu ya neno..'watu au jamii itanionaje'
Wakati mwingine makosa yaleyale ambayo yanavunja ndoa endapo yangefanywa na mwanamke yakitendwa na mwanaume jamii inachukulia poa..so, wanawake always wanajikuta wapo kwenye disadvantaged position!
SnowBall nimetafuta kitufe cha LIKE sikioni...................
Pokea LIKE yangu mkuu.
Kaunga you said it quite right ma dear. mimi binafsi nilifikiri the same nikajithd kuvumilia. i looked at my kids what should i say to them. heri baba afe utamuonyesha kaburi kaunga but siyo mmedivarce especially wakiwa wadogo it pains sana to them.Kuna swala la jamii itanionaje, lkn pia watoto wataishije na ile kitu famous ya 'mpaka kifo kiwatenganishe'.
Mengine ni kuamini kuna siku atabadilika, nitaanzaje maisha (uoga na of course nitampata wapi mwingine) na ujinga au kutojithamini sisi wenyewe wanawake!
Jamii has never been woman friendly hata siku moja. It is a big challenge to be a woman.
pia life has never been fair to a woman always a woman is a victim. nina jirani yangu hapa anafanya kazi nzuri sana kama economist mr ni mishen town tu so the woman toils by caring and everything the woman built the house and wanaish hapo baba alikuwa anamboa she gives him money and the man spends it with vimada katika mabar. what do you think? that day mama alimfukuza huyu baba nyumbani. ilipita kama 2 months hivi kukawa kuna kikao mama alipokwenda alipotaka kuongea one of the member kwenye kikao alisema huyu sikaachwa na mumewe what is she going to tell us. it was sad real kesho yake the woman went to fetch his husband. i cried for her aisee.
sasa niambie kwanini always the society victimize the woman? je sisi ni nani mbele ya hawa? kwanini tuonekana viumbe dhaifu tu real naandika hii post nikilia kwa uzuni ambazo wanawake wenzangu ambao hawawez kujitete wanavyoteseka. nad yet men laugh behind us.
Last edited by a moderator: