Dhana ya "boarding school" ilitoka wapi?

mtafungwa

Member
Feb 27, 2012
74
16
Wadau, asante kwa kunipa nafasi hii ili nami niweze kujifunza moja au mawili toka kwenu kuhusiana na mada hii ya shule ya bweni au boarding school. Je ni wakati gani dhana hii iliingizwa ktk mfumo wa elimu ya Tanzania? Nani mhusika mkuu? Je kulikuwa na kitu kama hiki kabla ya wageni wa mwanzo (waarabu) kufika Tanzania? Shukrani za awali.
 
Back
Top Bottom