Dhana ya Bikira

Ni vizuri kujiuliza beyond jina Bikra lenyewe. Ni nn maana ya kuwa bikra. Kwangu mimi BIKRA ni ukamilifu, ni zaidi ya vagina-muscles ambazo wengi tunadhani ndiyo heshima yenyewe. Mi naamini kuwa mtu anaweza kuwa bikra in terms of muscles lakini akili, upendo, ustaarabu, kujitambua, kazi na mambo mengine muhimu akakosa....sasa ubikra wake hausaidii kitu.
Kwa hiyo kuwa bikra au kutokuwa bikra sioni ikiwa ni valid argument for marriage. You shouldn't major in minors.
 
Wapo wengi tu na mimi ni mmoja wapo, nimeitunza bikira yangu ikiwa ni zawadi kwa mke wangu mtarajiwa ambaye tutafunga nae ndoa mwezi wa 7,kutunza bikira kwa maisha haya sio mchezo kuna vishawishi vingi sana, mimi hapa nilipo na karibia kuchanganyikiwa kutokana na vishawishi navyo vipata toka kwa mabinti na mijimama!....

Nimefurahi sana kufahamu kumbe Mjengwa ni Mdada!

Hujawahi piga nyeto?
 
Nimependa sana hii mada.
kwa kweli kwa binti kujitunza inawezekana had kuolewa.
kinacho hitajika ni kuwa na hofu ya Mungu.
na malezi bora kwa wakati yatasababisha kujitambua.
 
Hizi mada za miaka majuzi za kuhusu bikra mbona zinafukunyuliwa kwa kasi sana?
 
Sory jamani inabidi wasichana wenzangu tutambue thamani zetu, hii mada ni nzuri sana kuwa bikra kuna raha yake sana, kwa upande wangu mimi nimefanikiwa kujitunza hadi leo nasi kwamba nilikuwa sipati vishawishi lakini nilimuomba sana mungu aniepusha na hivyo vishawishi, nimeachana na wanaume na kitu kikubwa niwao kutaka mapenzi kabla ya ndoa, yupo aliyejifanya atanivumilia lakini kumbe ni muongo anafanya na wasichana wengine nikaamua kuachana nae nabado ninaendelea kumuomba mungu anipe mwanaume ambaye atatambua thamani yang.
 
Huko wanakotoa vyeti wangewapa na wanaume pia na asiyekuwa nacho hakuna kuoa...waache gender imbalance mfyuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom