Dhana hii ya ukanda ndiyo Sanda ya CCM

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za mrengo wa ubaguzi,udini na unafiki.Hapa kwetu Tanzania nina ushahidi mmoja kwanza,nao ni ubaguzi wa waziwazi unaofanywa na CCM dhidi ya watu wa kaskazini.kwamba eti chadema ni cha kaskazini.swali je, huko kaskazini hakuna wanaCCM? Kusini hakuna chadema?kanda ya ziwa hakuna chadema?magharibi hakuna chadema? Kati hakuna chadema? Mashariki hakuna chadema?SWALI LANGU NI;MSAJILI WA VYAMA KWA NINI HATOI KARIPIO KWA VYAMA VINAVYOPATIKIZA UBAGUZI HAPA TZ?MIMI BINAFSI NAJUA HAYA NI MAPUNGUFU YA KATIBA YETU.LAKINI KIONGOZI MZALENDO WA TZ NI LAZIMA AKEMEE UVUNJAJI WA TUNU ZA TAIFA LETU[UMOJA,AMANI NA MSHIKAMANO].Yanayotokea sasa kwa wananchi wengi kujiunga chadema ni kutokana na kuchoka siasa uchwara za ccm zilizojaa ghilba za 1796.UBAGUZI HUU UNACHOCHEA KURA ZA AINA MBILI MWAKA 2012.MOSI KURA YA CHUKI NA PILI KURA ZA UBAGUZI.DHAMBI HII ITAENDELEA NA HATIMAYE KUWA SANDA Ya CCM Kabla ya kuwekwa kwenye kaburi.
 
Je kauli za Chadema ndiyo imekuwa sera ya ccm? Chochote kitakachotamkwa na CDM nimeamua nitakifuata, wao ccm watafute namna ya kutatua matatizo ya watanzania na SIYO KUVIZIA KAULI ZA CDM na kuanza kukimbia nazo mitaani.
 
Hata mwanza nayo mwenyekiti wa ccm ameitenga kwa kutoteua mkuu wa wilaya hata mmoja toka mwanza, ubaguzi ndiyo sanda yao nakubaliana nawe.
 
CDM wameanza kumega kidogo kidogo hakuna chama cha upinzani chochote kilichoanzishwa na kufanikiwa bila kuanza kujijenga sehemu kwa sehemu , kama CCM wameshakubali CDM ni cha kaskazini na mpaka Nape anasema hivyo jua ndio kuondoka kwenyewe huko
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom