DHAIFU V/S DIKTETA Mnakumbuka katuni ya kipanya? mnalalamika nini mbinu za kidikteta zikitumika?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Ni juzi tu masoud kipanya alichora katuni ikionyesha wapiga kura wamepanga msururu mrefu sana kwenda kupiga kura, na katika meza ya kupigia kura kulikuwa na dhaifu against dikteta, katuni inaonyesha watu wote wameamua kumpigia kura dikteta na watu walikoment kuwa heri ya kutawaliwa na dikteta kuliko dhaifu.
Mie nadhani mtu ukiwa mpole na mwenye huruma au tuseme mwenye kufikiria kwanza kabla hujaamua jambo watu watakuita dhaifu au mwoga.
Lakini ukiamua kila jambo kiimla basi utaitwa dikteta. na kama kweli Dr Ulimboka alipigwa na polisi au usalama wa taifa. basi hizo ndio mbinu za kidikteta za kutuliza wanaoisumbua serikali. Idd amini yeye alikuwa anapoteza tu maaskofu, madaktari nk. na watu walisema hiyo ndio wanataka.
SASA TUNALALAMIKA NINI?
Pia tusikurupuke tu kulaani serikali. mkumbuke wagonjwa wana ndugu waliopoteza maisha kutokana na hii migomo . na kuna watu wanaweza kufanya ushenzi wao kwa sababu wanajua lolote likitokea basi wananchi watasema ni serikali.
Tusubiri mwenyewe akipona atuambie nini kilitokea.
Na kama kweli ni serikali, basi haya ndio tuliyokuwa tunayataka.
UDIKTETA
 
e bana eeh, kama nakuelewa hivi alafu kama sikuelewi!!!!, any ways ..madaktari kugoma sio vizuri, ulimboka kupigwa sio vizuri. cha msingi ni kutafuta tatizo na ufumbuzi wake.
tukifanya uchambuzi utagundua chanzo ni pesa(hazipo).
je ni kweli tz haina pesa ya kutekeleza mahitaji ya madaktari ambayo kimsingi gvnt inakiri ni ya msingi isipokuwa uwezo selikali haina.
nipe jibu, ni kweli gvnt uwezo haina. nchi yenye resources nyingi like no other in east and central africa??!!!!!>>>:A S cry:
consider ugumu, urefu,unyeti,risks za taaruma hii ya u Dr. najua waliitamani lakini sayansi ikawapiga chini. wapewe haki zao tutakuwa salama. ni mtazamo tu..
 
Kma ni hivyo basi nchi nzima itagoma, walimu watagoma, wanafunzi watagoma, polisi watagoma, magereza watagoma, wasafisha barabara watagoma, madereva watagoma mateja watagoma, kwa sababu kila mtu hapati anachotaka kama ulaya
 
Udikteta poa sana siunajua no guns no glory.Ukiwa dhaifu watu wanakuchukulia poa sana
 
e bana eeh, kama nakuelewa hivi alafu kama sikuelewi!!!!, any ways ..madaktari kugoma sio vizuri, ulimboka kupigwa sio vizuri. cha msingi ni kutafuta tatizo na ufumbuzi wake.
tukifanya uchambuzi utagundua chanzo ni pesa(hazipo).
je ni kweli tz haina pesa ya kutekeleza mahitaji ya madaktari ambayo kimsingi gvnt inakiri ni ya msingi isipokuwa uwezo selikali haina.
nipe jibu, ni kweli gvnt uwezo haina. nchi yenye resources nyingi like no other in east and central africa??!!!!!>>>:A S cry:
consider ugumu, urefu,unyeti,risks za taaruma hii ya u Dr. najua waliitamani lakini sayansi ikawapiga chini. wapewe haki zao tutakuwa salama. ni mtazamo tu..

Pesa ipo mingi tu, majuzi wanajipanga kuagiza madaktari kwa Bilioni 200. Wameshinda kununua hata CT Scan machine moja. Hawana vipaumbele, wameshindwa kununua hata mitumba ya vitanda wodini, wamerundika wagonjwa kama jela, hasa wodi za wazazi.
Mimi nafikiri kunatatizo la lifikra zaidi ambalo halihitaji dikiteta kulirekebisha, kwa sababu tayari katiba inamfanya raisi awe na madaraka makubwa lakini hayatumii ipasavyo.
Labda rafiki zake watupe uelewa wake toka Tanga School, UDSM, jeshini, alikuwa mtu wa namna gani
 
Back
Top Bottom