Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapa

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
[h=2]
icon1.png
Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapa[/h]
tangia tupate uhuru hatujapata serikali dhaifu kama hii ambayo rais hatoi tamko kutokana na hali tete alifanikiwa kwenda msibani kwa kanumba lakini steven ulimboka kwa rais ni kama kalazwa india nawaziri mkuu wake anatamka liwalo na liwe badala ya kutatua tatizi wanmwagia moto petrol kwa haya masuala lazima ccm ikubali kupokonywa serikali kiulaini kama wanafikiri ni utani wajaribu kuona kwenye uchaguzi mdogo wowote watakavyoangamizwa mungu ilinde tanzania
 
nchi yetu inafika HAPA kwa sababu tumekuwa watu wa kusema tu hatufanyi maamuzi magumu.hebu tujiulize tumefanya nini kuhakikisha madaktari wanapewa haki zao?Moja ya dai la madaktari ni chanjo ambayo gharama yake ni 2700 tsh hili nalo linahitaji mazungumzo utafiti unaonesha 30% ya wahudumu wa afya ndo wanaougua.Bahati mbaya ugonjwa huu unaharibu Ini na ukiupata hauna TIBA.Mimi nadhani wananchi tupewe tutambie madai ya madaktari tulinganishe na sababu za Pinda na watu wenzake.Kisha tuanze na mh Rais twende Ikulu wala si ubungo watuuwe wote wabaki wao tuone watamuongoza nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom