DG WA LAPF ANACHUKUA 10 MILL( Best paying GVT institution)

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono.

DG= DIRECTOR GENERAL
 
Binadamu tuna matatizo!!!! Lipi jema lakini??? Serikali ikilipa mshahara mdogo tunaponda!!! Ooh!! serikali inalipa kiduchu!!!
Serkali ikilipa mshahara mnono ooh!! inalipa mshahara mkubwa!!! Sa unataka ifanyaje????
 
Sina hakika kama mdau kalalamika hapo!!!Nahisi kawasilisha tu....:smile::smile:
9479443-1.jpg
:smile:
 
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono.

DG= DIRECTOR GENERAL

Huo ni cha mtoto, Governor wa Banki kuu yaweza kuwa mara mbili yaa huo!
 
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono.

DG= DIRECTOR GENERAL

Mbona hata mimi namzidi huo mshahara na wala sina cheo kikubwa kama hicho? Hata hivyo nataka nihame kwa kuwa nimepata offer kubwa zaidi.Inaelekea hii bongo kuna watu wanawasindikiza wenzao kazini..... na kwa nini msitafute qualifications mkapata mishahara minono?
 
Hiko kimshahara kidogo sana. Nadhani serikali bado haijafikia kulipa vizuri.

Nenda kaangalieni kwenye Private sector watu wanavyolipa. Huyo DG akijua ghafla atataka ahamie huku hehehe

Watu kulipwa USD 17,000 mambo ya kawaida sana!!!
 
Kaulize MD aliyeendoka mzungu pale NBC walikuwa wanampa ngapi teh teh teh :biggrin:
 
ivi viwanafunzi vimezoea boom tu ndo maana vinashtuka .hapa kwetu mm nakula 4,5m bado marupurupu.
 
Kaka inaelekea ukonyuma katika kufaham ivi unajua kama General Manager mgodi wa buzwagi analipwa mil70 kwa mwez na apo bado ajapata posho

:target:
Mbona huo Mshahara unakaribia wa Walinzi wa BoT??? Best paying Best paying njoo boT uone watu wanavyokula bata.:whoo:
 
Binadamu tuna matatizo!!!! Lipi jema lakini??? Serikali ikilipa mshahara mdogo tunaponda!!! Ooh!! serikali inalipa kiduchu!!!
Serkali ikilipa mshahara mnono ooh!! inalipa mshahara mkubwa!!! Sa unataka ifanyaje????

Kinacholalamikiwa si mshahara mkubwa kama mshahara mkubwa, Bali ni tofauti kubwa za mishahara zilizopo katika serikali yetu kwa watu wenye sifa zinazolingana, na hata baina ya watu wenye sifa tofauti. Tofauti ni kubwa mno and they are shocking. Wakati mtu mmoja analipwa 10Ml mwingine analipwa 120,000/= Tsh. Tumeona askari mgambo wa halmashauri ya Ilala wakiwa wamegoma juzi, wanalipwa laki na ishirini, hakuna extra duty, hakuna malipo ya hifadhi za jamii wala chochote. Sasa hiki ndicho kinacholalamikiwa hapa.
 
Kwenye mifuko pension, DG wa LAPF ndiye mwenye mshahara mdogo. PPF DG anapokea basic salaryTshs 12M, Housing allowance 25%(Tshs 4,000,000), Fuel allowance Tshs 1,000,000(hii ni pamoja na kuwa fulll fueled VX V8) analipiwa house girl, houseboy na walinzi. Anapoanza mkataba wa miaka minne hupewa Tshs 57.6m anunue Furniture. Akimaliza miaka minne hupata Tshs 520M kama Group endowment(hizi anaiba), Tshs 144M as gratuity bila kusahau pension ya Tshs 115.2

Mnamshangaa wa LAPF?
 
Back
Top Bottom