Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

Naona unaleta hadithi za kusadikika, nifuatilie nini wakati jambo lipo wazi huyo Mallya ndio alikuwa anamuendesha marehemu Chacha Wangwe, fuatilia wewe hujuie vizuri kiti cha Chacha Wangwe, kilikuwa kimeegeshwa tu hata mkanda nao ulikuwa aujafungwa sehemu yake...mie mpaka hiyo gari Toyota nimeona baada ya ajali, halafu unaleta habari za Sitta.

Nakushauri siku nyingine ukiamka usikimbilie KU LOG IN humu.. Bora ukaenda chooni kwanza,Ukaswaki,Ukanawa uso,ukapaka hata mafuta ya mgando usoni (Itakusaidia kunyoosha misuli midogo ya uso ambayo inashirikiana vilivyo na ubongo) baada ya hapo ni vyema ukachamba koo kwa kikombe cha chai au kahawa ndipo uingie humu!.. Vinginevyo watu watakuwa wanakucheka na kukuona kama Pungufu kichwani au dhaifu. (Huo nimekupa ushauri tu).
 
Mkuu mimi siye. Yeye yupo huku japokuwa waandishi wenzanguwaliofanikiwa kuwasiliana naye amekuwa akikwepa sana swali hili. Natamani aje hapa aseme neno. Kama una mawasiliano naye na unamfahamu tafadhali tuitie.

wewe acha kutuzuga wanaume hapa we ni D M kama sivyo tuambie kama we ni msemaji wake maana wewe ndo mtoa mada and then mhusika naye yupo ktk huu uzi lakini hoja unamjibia wewe kulikoni !
Kama unataka kujitakatisha umenoa ! Maana huna hata mvuto wa kisiasa ! Tena bora uachane na izo mambo !
 
Hiyo EL maana yake ni Endward Lowassa? Pole sana jamaa.. Nani kakuambia kuwa unaweza kumziba mtu mdomo kwa kiwango hicho? You're too shallow yani.
 
Wangwe, Samwel (Prof) ambaye kwa sasa ndiye Executive Director wa the former REPOA ni SSM damu. Na aligombea Kibaha mjini 2010 Koka akambwaga kwa kura ya maoni. Na ni mtu wa ..... kwa hivyo asingekubali mwili ufanyiwe uchunguzi maana ingeleta mzozo kwa waliohusika na mauaji yale na Deus Malya anafahamu fika kilichotokea maana yeye hakuumia japo gari lilikuwa nyang'anyang'a. Kitendawili kigumu sana kuhusiana na kifo cha Mpiganaji Chacha Wangwe.
Mkuu hapa ndipo wengine tunashtuka tunaposikia kuwa huyu ni mmwanachama wa CDM anayefikiria kugombea ubunge. Kwa chama makini, mtu wa aina hii hastahili hata kupewa uanachama, unless you want to confirm the rumors circulating then that some CDM bigwigs toasted in celebration of Wangwe's demise.
 
Nakushauri siku nyingine ukiamka usikimbilie KU LOG IN humu.. Bora ukaenda chooni kwanza,Ukaswaki,Ukanawa uso,ukapaka hata mafuta ya mgando usoni (Itakusaidia kunyoosha misuli midogo ya uso ambayo inashirikiana vilivyo na ubongo) baada ya hapo ni vyema ukachamba koo kwa kikombe cha chai au kahawa ndipo uingie humu!.. Vinginevyo watu watakuwa wanakucheka na kukuona kama Pungufu kichwani au dhaifu. (Huo nimekupa ushauri tu).

Napata wasiwasi na ufahamu wako wa mambo, binadamu hutumia karibu theluthi ya umri wake kwa kusinzia, lakini wewe unatumia theluthi kwenye mipasho na kunywa mbege pamoja na Valeur zimealibu mfumo mzima wa ubongo wako mpaka akili imebakia 1KB damu ya mtu mbaya hiyo dhambi itazidi kukutafuna mpaka unaingia kaburini...halafu ndio unataka kuwa mbunge wa Kibosho...anza kutubu dhambi.
 
Wakati tunasubiria tukubali kuwa Deus ameshapata doa na itakuwa kitu cha kushangaza eti ameteuliwa au kupitishwa na chama chochote kile kugombea ubunge. Sijui ni mtaalamu wa fani ipi lakini kwa yaliyompata nampa pole.... lakini wazo ya kuongoza wananchi kupitia Ubunge asahau
 
Napata wasiwasi na ufahamu wako wa mambo, binadamu hutumia karibu theluthi ya umri wake kwa kusinzia, lakini unatumia theluthi kwenye mipasho na kunywa mbege pamoja na Valeur zimealibu mfumo mzima wa ubongo wako mpaka akili imebakia 1KB damu ya mtu mbaya hiyo dhambi itazidi kukutafuna mpaka unaingia kaburini...halafu ndio unataka kuwa mbunge wa Kibosho...anza kutubu dhambi.

Hivi unachohofia wewe ni nini? Amekuchama? Poleeeeee.
 
Wakati tunasubiria tukubali kuwa Deus ameshapata doa na itakuwa kitu cha kushangaza eti ameteuliwa au kupitishwa na chama chochote kile kugombea ubunge. Sijui ni mtaalamu wa fani ipi lakini kwa yaliyompata nampa pole.... lakini wazo ya kuongoza wananchi kupitia Ubunge asahau

Mhuu naheshimu sana ulichoandika lakini nitaomba vigezo ulivyotumia kum Disqualify kwa kiwango hicho.
 
Kuna maswali mengi sana ambayo hayajapata majibu kuhusu kifo cha Wangwe. As of now, huyu hastahili hata kuwa mwanachama wa CDM unless someone wants to convince me that he was recruited by CDM leaders to execute Wangwe.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamebaki kuwa na maswali mengi kuhusu ukweli wa kile kifo Mkuu. Kwa njisi marehemu alivyokuwa mwiba kwa pande zote mbili, chochote kingeweza kupangwa na upande wowote kama shemu ya kufifisha upande wa pili, bila kujali machungu kwa familia binafsi ya Marehemu ambayo ilibaki bila Baba !!! Ukweli kuhusu hilo atakuwa nalo huyo Mfanyabiashara ambaye alikuwa rafiki wa karibu na dereva wa Wangwe. Nashindwa kuamini msemo "Malipo ni hapa hapa duniani" kama unafanya kazi au ni msemo tu wa kuwafariji wanaokuwa wamedhulumiwa haki yao.
 
Mkuu hapa ndipo wengine tunashtuka tunaposikia kuwa huyu ni mmwanachama wa CDM anayefikiria kugombea ubunge. Kwa chama makini, mtu wa aina hii hastahili hata kupewa uanachama, unless you want to confirm the rumors circulating then that some CDM bigwigs toasted in celebration of Wangwe's demise.

Wewe ni mtu hatari sana kwenye uongozi.
Mchango waku ni wa kipekee. Hata mtu mwenye matatizo ya akili hawezi kuchangia hivi. CHADEMA haiongozwi na watu kama wewe ndiyo maana mimi bado ni Mwanachama.
 
1. Mimi ni Mwanachama hai wa CHADEMA.
2. Ukirudisha kumbukumbu nyuma utagundua wazi kuwa wanasiasa wa vyama vingine vyote walitumia ajali ile kama mzimu kwa CHADEMA. Lengo lilikuwa ni kuwaonyesha Watanzania kuwa CHADEMA ilihusika na 'mauaji' jambo ambalo halikuwa la ukweli. Wanasiasa waliokurupuka kama Mbatia,Mrema,Lipumba na Mtikila (Ambaye alipigwa jiwe Tarime) wanaonekana walipewa mikataba ya siri ya kisiasa kuendeleza uchafu usiokuwepo. Ziliundwa Tume tatu (Tume ya DCI, Tume ya Said Mwema na Tume maalum ya Masuala ya Kijasusi) na zote kwa vipindi tofauti nilijieleza mbele yao kwa jumla ya siku 18 na hawakuona lolote lililodaiwa na hao wanasiasa Uchwara.

Mkuu Mallya,kwa kuwa ulikuwa ndani ya gari lililopata ajali na kushuhudia tukio lote mwanzo mwisho. Unaelezea vipi mazingira ya ajali na je, ni haki kwa watanzania kuendelea kuhusisha tukio la ajali na hila za kisiasa? naomba utupe maelezo thabiti wana JF yasiyokuwa na lengo la kutaka kukisafisha wala kukipaka matope chama chochote.
 
Wewe ni mtu hatari sana kwenye uongozi.
Mchango waku ni wa kipekee. Hata mtu mwenye matatizo ya akili hawezi kuchangia hivi. CHADEMA haiongozwi na watu kama wewe ndiyo maana mimi bado ni Mwanachama.

Kweli Chadema ina wenyewe tumekubali...nyie ndio Chadema.
 
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamebaki kuwa na maswali mengi kuhusu ukweli wa kile kifo Mkuu. Kwa njisi marehemu alivyokuwa mwiba kwa pande zote mbili, chochote kingeweza kupangwa na upande wowote kama shemu ya kufifisha upande wa pili, bila kujali machungu kwa familia binafsi ya Marehemu ambayo ilibaki bila Baba !!! Ukweli kuhusu hilo atakuwa nalo huyo Mfanyabiashara ambaye alikuwa rafiki wa karibu na dereva wa Wangwe. Nashindwa kuamini msemo "Malipo ni hapa hapa duniani" kama unafanya kazi au ni msemo tu wa kuwafariji wanaokuwa wamedhulumiwa haki yao.

Hapo juu kuna mdau amesema kuwa "WATU WANALISHWA MATAPISHI NA MAGAZETI NA KUYAMEZA KAMA YALIVYO",,, Inawezekana na wewe ukawa miongoni mwao. Unawezaje kuwa 'Mfanyabiashara'na wakati huo huo nikawa Dereva wa mtu?.. Kwa kukusaidia tu ni kuwa Driver wa Wangwe alikuwa anaitwa Kalikisha (Ambaye kwa sasa ni Driver wa Mhe.Kafulila) na aliachwa Dar na Bosi wake ambapo bosi wake aliendesha mwenyewe (Akiwa na wanaye) hadi Dodoma.
 
Mkuu hao wanaomfuatilia waambie waendelee tu ila 2015 tutawaonyesha kuwa Wana Moshi Vijijini hatuchaguliwi viongozi. Tutachagua wenyewe mtu ambaye tunaweza kumtuma.

Deus Malya For Moshi Vijijini 2015
CHADEMA For Moshi Vijijini 2015
Peple's Power! (Japo najua wakati bado)

Wewe yaelekea humjui vizuri huyu jamaa wala siasa hakuwepo wala hakua anajulikana kokote ila hiyo ishu ya wangwe RIP ndo ilimleta kwenye awareness ya umma. Nimeshangaa kuona hii thread eti kugombea ubunge simply like that! Mi chadema pia ila muulize huko masomoni alikokua ni wapi na alikua anasoma nn kuanzia lini mpaka lini kama atajibu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Humu jamvini kuna watu wanakiherehere kama wife's wa wajumbe wa nyumba 10, maswali anaulizwa Mallya we unajibu kama nani?
 
Mkuu Mallya,kwa kuwa ulikuwa ndani ya gari lililopata ajali na kushuhudia tukio lote mwanzo mwisho. Unaelezea vipi mazingira ya ajali na je, ni haki kwa watanzania kuendelea kuhusisha tukio la ajali na hila za kisiasa? naomba utupe maelezo thabiti wana JF yasiyokuwa na lengo la kutaka kukisafisha wala kukipaka matope chama chochote.

Haikuwepo mbinu yoyote ya kisiasa (Kama ilikuwepo sikuiona). Kwanza kitendo cha marehemu kuamua kuendelea na safari japokuwa ile gari mwanzoni ilishaonekana ni mbovu upande wa tyre na kutokufanyiwa matengenezo makini (Kwa kuwa matengenezo yalifanyika saa 12 jioni),Na kutokana na Ripoti ya Temesa kuwa ajali ilitokana na kuyumbayumba kwa Tyre na baadaye ku bust inaungana na kumbukumbu zangu juu ya kishindo cha Tyre Bust nilichokisikia. Ile gari ilipasuka Tyre 3 mbili za mbele na moja nyuma kushoto. Gari ilikuwa hafifu kwa safari ndefu (Corola Limited)... Hapo ndipo ninapoona hakukuwa na kitu chochote cha kisiasa kilichosababisha ajali...
Siasa ilikuja kuingia asubuhi yake walipoletwa wakazi wa Chinyoya Dodoma kudai kuwa walimuona mareremu akiwa amefunga mkanda Seat ya mbele kushoto. Wakazi hao walidai kuwa walikuwa wakazi wa pandambili ilhali mkazi wa pandambili alikuwa mmoja aliyefika eneo lile na aliiba suit za marehemu na laptop yangu ambapo baadaye alikutwa na suit akashtakiwa na kuhukumiwa jela miaka mitatu..
 
Back
Top Bottom