Deus Kibamba aisifia hotuba ya Rais Kikwete kwa wazee wa Dar!

mbona hamueleweki mara kibamba muongo mara hawezi kuongea hivo haya ukweli uko wapi sasa..

au kawafanyia watz mambo ya gratian mukoba na walimu nini..
 
Tatizo CCM inakaba kila kona..wapinzani walikuja na sera yao ya katiba mpya, CCM ikaibeba juu kwa juu na kuifanyia kazi..sasa hivi wapinzani wameishiwa, hawana tena sera! Wanajaribu tu kuvuruga huu mchakato!
 
Deus ninae mjua awezi ongea ayo na jana tu niliku nae acha uongo magamba kazini

Nafikiri umeanzia katikati ya kipindi, mwanzo alianza kwa maneno hayo KUWA AMEKUNWA NA DHAMIRA YA RAIS, ANAHISI TATIZO NI WASHAURI HASA WAZIRI KOMBANI NA MWANASHERIA MKUU WEREMA
 
Ni kawaida kumsifia mkubwa hata kama kasema pumba kinafiki. Hiki ndicho anachokifanya Deus. Anamwomba asisaini,asikilize kwanza maoni ya wananchi.
 
CDM karibuni katika mikutano ya kutoa maoni kuelekea katiba mpya
 
Inawezekana sio kweli!
Ila kuna uwezekano hawa wanaharakati wakapewa shavu la kuwa watakuwa wajumbe wa bunge la katiba!
Hizi harakati zishatepeta, nawasikilizia CDM na NCCR!
 
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:

1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya

2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA

3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.

Details angalia Channel Ten muda huu

Kibamba ni mtu makini sana kwa hyo usitake kutuaminisha uongo ili kumharibia bwana Deus hawezi jiropokea haya uyasemayo
 
Tatizo CCM inakaba kila kona..wapinzani walikuja na sera yao ya katiba mpya, CCM ikaibeba juu kwa juu na kuifanyia kazi..sasa hivi wapinzani wameishiwa, hawana tena sera! Wanajaribu tu kuvuruga huu mchakato!
Juu ya mchakato wa katiba, watanzania ndo wapinzani, unafurahia watanzania kuporwa mamamlaka???
taifa kwanza vyama baadaye.
 
hotuba ya jana imemkuna deus kibamba na anasema:

1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata katiba mpya

2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa kupata katiba mpya

3. Maandamano si njia muafaka kufikia katiba mpya.

Details angalia channel ten muda huu

mafilili twende tukachukue mshahara wa mwezi wa kumi na moja 2011, umetoka pale chcm lumumba, ff kanipigia simu, wewe umeandika uwongo mwingwi sana kwenye jamii forums mwezi huu, donge lako litakuwa nono
 
Kibamba ni mtu makini sana kwa hyo usitake kutuaminisha uongo ili kumharibia bwana Deus hawezi jiropokea haya uyasemayo

Ondoa mawazo mgando, tuweke mbele maslahi ya TAIFA, nenda Channel Ten uombe mkanda wa kipindi, ndipo utapata uhalisia wa alichotamka Kibamba. YOTE KWA YOTE, MSWADA UMEPITA, SASA TUJIPANGE KUPELEKA MAONI YETU KATIKA KAMATI YA KUKUSANYA MAONI.
 
Wewe ndie mwenye mawazo MGANDO una post upupu kila wakati soma maana halisi ya jina lako kwetu kwa hyo hope ndivyo ulivyo
 
Lazima katishiwa nyau na inawezekana angalizo pia limetolewa la Mwandosya na Mwakyembe,kwa vile kwa jinsi ninayvomfahamu Deus na hotuba za Kikwete sioni uwezekano katika hali ya kawaida wa Deus kusifia any of Kikwete's speeches.Deus is a very inteligent fellow.Hapa lazima kuna jambo.
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:

1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya

2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA

3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.

Details angalia Channel Ten muda huu
 
Tatizo CCM inakaba kila kona..wapinzani walikuja na sera yao ya katiba mpya, CCM ikaibeba juu kwa juu na kuifanyia kazi..sasa hivi wapinzani wameishiwa, hawana tena sera! Wanajaribu tu kuvuruga huu mchakato!
Vipi ubwabwa uliisha jana?nlikuona unamendea pale sabasaba
 
Back
Top Bottom