Deus Kibamba aisifia hotuba ya Rais Kikwete kwa wazee wa Dar!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:

1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya

2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA

3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.

Details angalia Channel Ten muda huu
 
Duuuh! Kwa lugha ya kitaa tunasema amembwela au amesanda, by the way haturudi nyuma.
 
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:

1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya

2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA

3. Maandamano si njia muafaka kufikia KATIBA MPYA.

Details angalia Channel Ten muda huu

Mkuu acha uongo.....
 
Sijui kwa nini watu wanamwamini Deus Kabamba? Hana tofauti na Lyatonga Mrema huyu kijana, na sitashoshangaa kama atakuwa kwenye 'payroll'.

Hata hivyo hii habari imeletwa na MAFAILI!
 
Sijui kwa nini watu wanamwamini Deus Kabamba? Hana tofauti na Lyatonga Mrema huyu kijana, na sitashoshangaa kama atakuwa kwenye 'payroll'.

Amesema IMANI YA WANANCHI KWA RAIS JK IPO JUU, hatahivyo IMANI KWA WATENDAJI WA SERIKALI IPO CHINI!
 
I don't believe Deus will do that though who cares, what I know the beginning of a standard constitution depend on my understanding.
 
Amesema IMANI YA WANANCHI KWA RAIS JK IPO JUU, hatahivyo IMANI KWA WATENDAJI WA SERIKALI IPO CHINI!

Deus Kibamba anaweza kuwa na matatizo yake lakini na wewe MAFAILI unayomatatizo makubwa zaidi - kama kuandika huu uzushi!
 
Kazi kweli kweli,juzi katangaza maandamano nchi nzima leo anasema maanadamano hayana tija katika kudai haki
nakumbuka usemi wa chegua vara---"nilikaa mda wa saa moja pale congo eneo la sokoni,zile mishemishe za wakazi wa pale na aina ya watu ninaowaona wakipita huku nakule nikajua hapa haukuna revolution,nikapanda ndege nikarudi nyumbani"
 
Deus umenena kama wengi walimsikiliza Jk ana nia njema na taifa hili lakini baadhi yetu tunataka kuingiza siasa kwenye suala la wote
 
wengi tunabishana kwa nini Rais anahusishwa badala ya kubishana kile ambacho JK asije kuthubutu kuacha kwa maslahi yetu
 
Sijui kwa nini watu wanamwamini Deus Kabamba? Hana tofauti na Lyatonga Mrema huyu kijana, na sitashoshangaa kama atakuwa kwenye 'payroll'.

Hata hivyo hii habari imeletwa na MAFAILI!

Deus ninae mjua awezi ongea ayo na jana tu niliku nae acha uongo magamba kazini
 
mwanaharakati makini ni kama kibamba ambaye hafungwi na ukale uliojaa misimamo mikali isiyobadilika hata penye ukweli
 
Back
Top Bottom