Dessert ni chakula gani?

ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda

Unafaa sana kuishi tarime. Mimi ukitaka nikuache mezani changanya mboga na mlenda. Naonaga kam cum zangu vile (sory)
 
Waingereza huandaa sahani tatu kwaajili ya mlo,yani kifungua mlo na mlo wenyewe na kitinda mlo,kifungua mlo unaweza kua supu au mtori,mlo wowote na kitinda mlo kinaweza kua salad,ice cream au kituchochote,basi hiyo ndio kitinda mlo na ndio desert
 
Back
Top Bottom