Desktop inapiga kelele sana.

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Habari zenu jamani.
hapa nyumbani ninatumia desktop imeandikwa IBM THINK CENTER
sasa tatizo ya hii desktop inaunguruma sana mpaka inafika mda hata watu waliolala usiku nawasumbua sasa sijui tatizo liko wapi na wakati huo free space iliyobaki ni 18.5 GB kwakweli hizi kelele sizipendi kwahiyo nauliza kama kuna mtu wa kunisaidia jinsi ya kuondokana na hili tatizo anisaidie.
 
Inawezekana inavumbi kwenye feni jaribu kuipuliza na vifaa vya kutolea vumbi broa au kuna kitu kinagusa kwenye feni...jaribu kucheck
 
Habari zenu jamani.
hapa nyumbani ninatumia desktop imeandikwa IBM THINK CENTER
sasa tatizo ya hii desktop inaunguruma sana mpaka inafika mda hata watu waliolala usiku nawasumbua sasa sijui tatizo liko wapi na wakati huo free space iliyobaki ni 18.5 GB kwakweli hizi kelele sizipendi kwahiyo nauliza kama kuna mtu wa kunisaidia jinsi ya kuondokana na hili tatizo anisaidie.

Fungua ndani kisha ipulize kwa kutumia blower. Kama huna blower usipate tabu, angalia processor fan kisha ishafishe ili kuondoa vumbi, tumia pamba stick (vijiti vya kusafishia masikio) au tishu pepa. Pia kagua kuona kama kuna waya unagusa mapanga ya hiyo fan au ili psu fan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom