Desktop icons kubadilika, tatizo ni nini?

Silas Haki

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
368
39
Wakuu, nawaombeni msaada wenu kwa mara nyingine tena. Laptop yangu imekuwa ikileta shida tangu nilipoi-formart miezi miwili iliyopita. Tatizo lillilopo kwa sasa ni la desktop icons hasa shortcuts kubadilika, kila unapofungua program fulani icons zote hubadilika na kufanana na icon ya program hiyo. Kwa mfano, ukifungua muziki kwa kutumia window media player, basi shortcut icons zote hubadilika na kuonekana zote ni za media player. Na pale zinapobadilika inakuwa ngumu kuzirudisha katika original appearance yake. Nawaombeni msaada wa namna ya kurekebisha tatizo hili, vinginevyo nafikiria kui-format tena. Laptop bado ni mpya, nimeinunua mwezi November, 2010 ikiwa mpya kabisa.
 
MH!! problem solved!!

TATIZO!! Kutokana na maelekezo yako unasumbuliwa na virus tu....yeah virus wa hivyo ni trick kumtoa ila worry out

fanya hivi:

Restart your PC in safe mode with networking kama hufahamu fungua
http://www.pchell.com/support/safemode.s…

If your Wallpaper has changed then download and run Wallpaper Hijacker gonga hapa kupata
http://www.majorgeeks.com/Wallpaper_Hija…

Download, install, and run a full scan with Rogue Remover atatoka
http://www.malwarebytes.org/rogueremover…

Run a full scan with Micro Trend House Call kumaliza kabisaaaa
http://housecall.trendmicro.com/

thats all mkuu fanya hivi ukiwa kwenye safemode...so download kwanza requred softwares alfu hayo makaratee yafanye ukiwa kwa safemode

Cheers mkuu!!
You should also download, install and run a full scan with Malwarebytes
http://www.malwarebytes.org
 
na hiyo ndio suluhisho , kama huna unachopoteza, basi format tu, ila safari hii weka security software au antivirus kali kidogo kama vile , kapsersky
 
MH!! problem solved!!

TATIZO!! Kutokana na maelekezo yako unasumbuliwa na virus tu....yeah virus wa hivyo ni trick kumtoa ila worry out

fanya hivi:

Restart your PC in safe mode with networking kama hufahamu fungua
http://www.pchell.com/support/safemode.s…

If your Wallpaper has changed then download and run Wallpaper Hijacker gonga hapa kupata
http://www.majorgeeks.com/Wallpaper_Hija…

Download, install, and run a full scan with Rogue Remover atatoka
http://www.malwarebytes.org/rogueremover…

Run a full scan with Micro Trend House Call kumaliza kabisaaaa
http://housecall.trendmicro.com/

thats all mkuu fanya hivi ukiwa kwenye safemode...so download kwanza requred softwares alfu hayo makaratee yafanye ukiwa kwa safemode

Cheers mkuu!!
You should also download, install and run a full scan with Malwarebytes
http://www.malwarebytes.org
Nitayafanyia kazi haya yote mkuu leo hii na nitakupa jibu
 
Unatumia os gani mkuu, je ukiziclick zinafunguka?
Ninatumia window 7, na hazifunguki ninapozi-click. Zinanipa taabu sana mkuu maana siwezi kufungua programs zinazowakilishwa na icons hizo. hata internet naipata kwa njia ndefu sana, mpaka nii-search.
 
Back
Top Bottom