Dereva wa Rais wa awamu ya kwanza Tanzania atoa mpya na kali!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Dereva wa hayati Nyerere.jpg

HabariLeo | KUELEKEA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA: ‘Niliahidiwa mengi nikimuua Nyerere’
 
Mzee pole sana! Wema wako ulikuponza marehemu Julius Nyerere angelikua hai natumaini ungeishi maisha ya peponi, lakini hayupo sasa nakushauri embu tafuta wengine wakukushauri kuhusu huyu tuliye naye!!
 
Tumefanya tunaweza na mtakula masaburi yenu.................Chagua CCM.
 
Maskini Babu wa watu! Anaonekana anaishi kwenye Maisha magumu..mafisadi wamemtupa mkono.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom