Dereva wa ‘bodaboda’ afumaniwa, achinjwa

Huyu jamaa inaonekana walikuwa wanahasira nae kwa muda mrefu, wani inaonekana alikuwa akitumia pesa yake kutafuna wake za wenzie. Ndio maana jamaa walihamua kumaliza hasira zao kwa kumuondoa kabisa.
 
Huyu jamaa inaonekana walikuwa wanahasira nae kwa muda mrefu, wani inaonekana alikuwa akitumia pesa yake kutafuna wake za wenzie. Ndio maana jamaa walihamua kumaliza hasira zao kwa kumuondoa kabisa.
Nafikiri waliyotumia ni dawa nzuri!
 
ningekuwa christopher nisingefanya hivo! inasemekana ana wanawake wawili sasa anawapendaje? na huyo marehemu ana wanawake wawili pia hawamtoshi? kwa hio kumiliki shamba akajiona bosi sana ona sasa pussy imempeleka kuzimu! anyway hili ni fundisho kwetu kuwa na kiasi ktk mapenzi!
 
Kama ana fedha si angekuja huku Dar, wamejaa wa 1000 mpaka 1,000,000
Tena walikuwa wanaanza kwa 200 pale Uwanja wa Fisi Kandoro akawavurugia
sijui wamehamia wapi siku hizi. Wapo pia wa Tandika walikuwa wanaanzia 500
Wachina waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa ndo wamesababisha bei ipande
kwani walikuwa wanaenda kwa uwingi mpaka kulikuwa na foleni.
 
Kwetu sisi ma-ustaadhi huyo jamaa na kipenzi chake walistahili kupondwa mawe hadi kufa na siyo kucharangwa mapanga.

kama walikuwa kwenye ndoa hiyo ndio adhabu.. kama walikuwa single viboko 100 hadharani...


RIP dereva wa bajaji ... wanawake waliojaa kwanini sijui akafata mke wa mtu ...
 
Unatoa uhai wa binadamu mwenzio kwa sababu ya pale kati? Hapana, si busara!
 
Back
Top Bottom