Dereva Taxi na mtalii

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Mtalii mmoja alishuka airport akakodi taxi, ......... wakiwa njiani kelekea mjini dereva wa taxi akajamba shuzi kali muda kidogo dereva taxi akamuuliza mtalii ...unaionaje hali ya hewa? ... Mtalii akajibu Looooh! ikiendelea hivi itanyesha mvua ya mavi
 
Naona huyo dereva alikuwa amekula PILAU iliyo zidi viungo/iliyo kuwa imeunguwa.
 
Back
Top Bottom