Dereva mzoefu anapatikana

Mgengeli

Senior Member
Sep 23, 2011
193
13
Kwenu wanaJF najitokeza kwenu nikitafuta kazi ya udereva,ninaendesha semi na puling na magari mengi isipokuwa bus,mara ya mwisho nilikuwa naendesha gari ktk kampuni ya HASSAN Transport,ninao wadhamini wa kuaminika,ninaishi Dsm kiwalani,No yangu 0717327062
 
Niwie radhi namba ya simu niliandika si sawa namba sahihi ni 0717326072 au 0759363797
 
sasa mkuu umeanza tuu namba ya simu umepoteza ukipewa gari si utaliangusha tuu ukipewa,any way tumekuelewa mkuu tutajitahid kukusaidia panapowezekana
 
sasa mkuu umeanza tuu namba ya simu umepoteza ukipewa gari si utaliangusha tuu ukipewa,any way tumekuelewa mkuu tutajitahid kukusaidia panapowezekana

Nadhan hii post kawekewa na ndugu yake maana mtu huwez kukosea namba yako! Yy binafsi sio memba bali hiyo ID ni ya ndigu yake! Sio ishu tumeshamzoom.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom