dereva.mbishi

Yahabib_1

Member
May 27, 2011
14
0
madereva.wawili.walikutana.ktkt.ya.daraja.na.mmoja.wao.alikua.gari.lake.limejaa.mzigo.akamuomba.mwenzake.arudishe.gari.nyuma.lakini.alifanya.kama.hamsikii.na.ndio.kwanza.akatoa.kitabu.akawa.anasoma.yule.dereva.mwenye.mzigo.akashuka.akamfata.na.kumwambia.samahani.ukimaliza.na.mimi.naomba.uniazime.braza
 
Hahaaahaahaaa! Walikutana vidume, unakumbuka ile aliyetoa pesa bandia na yeye akauziwa cheni bandia, hapo jino kwa jino.
 
madereva.wawili.walikutana.ktkt.ya.daraja.na.mmoja.wao.alikua.gari.lake.limejaa.mzigo.akamuomba.mwenzake.arudishe.gari.nyuma.lakini.alifanya.kama.hamsikii.na.ndio.kwanza.akatoa.kitabu.akawa.anasoma.yule.dereva.mwenye.mzigo.akashuka.akamfata.na.kumwambia.samahani.ukimaliza.na.mimi.naomba.uniazime.braza

aisee, kuandika kwako ni shida, hebu rudi shule
 
hahahahaaa nahisi walikesha. Kama ni mimi ningetoa biblia yangu na kuanza kuisoma kuanzia mwanzo mpaka nifike ufunuo.
 
madereva.wawili.walikutana.ktkt.ya.daraja.na.mmoja.wao.alikua.gari.lake.limejaa.mzigo.akamuomba.mwenzake.arudishe.gari.nyuma.lakini.alifanya.kama.hamsikii.na.ndio.kwanza.akatoa.kitabu.akawa.anasoma.yule.dereva.mwenye.mzigo.akashuka.akamfata.na.kumwambia.samahani.ukimaliza.na.mimi.naomba.uniazime.braza

mi nimeshdwa kusoma!!!
 
Braza kabla ya kutuma ulichoandika ulitakiwa uone wenzio wtaweza kuelewa, shida tupu sasa hata sijui kwa nini nilifunfua post yako
 
Msamehe unajua cm mpya au yakuazima lazima upate tuition.
Kama kwenye cm ni hivyo cjui akitumia pen itakuwa kichina bajameni!
 
hao madereva hawakupitia veta, kupaki juu ya daraja? hivi tanroads wako wapi?
 
so what? Mbona tunaotumia mobile humu ndani tupo wengi sana lakini hatuweki hizo nukta?
Ina maana hata kutumia simu yako hujui, hadi unashindwa kuweka space?

Huwezi jua Kiranja! Labda ni kimeo, kwahiyo waweza kuta nukta peke yake ndo inafanya kazi!
 
Back
Top Bottom