Dereva matata

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Dereva akiwa mahakamani baada ya kugonga na kuua watu hamsini!

HAKIMU:Imekuwaje umeua watu wengi hivi?
DEREVA:Mwenyewe!
HAKIMU!Hebu elezea ilivyokuwa
DEREVA:Mimi nilikuwa naendesha gari,ghafla gari ikanishinda;upande mmoja wa barabara kulikuwa na mtu mmoja,upande wa
pili watu 51 wakiwa kwenye harusi!Wewe hakimu unahisi ningeangushia gari wapi?
HAKIMU:Kwa yule mtu mmoja!
DEREVA:Ndivyo nilivyofanya!Sema yule alijafanya mjanja akakimbilia upande wa pili wa barabara,nikamfuata hukohuko!
 
Du utata mtupu
 
Hakimu angempeka milembe wakamcheki akili yake kwanza ndo ajekusomewa hukum
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 
Back
Top Bottom