Bandugu kuuliza si ujinga. Nimekuwa nikisikia/kusoma maneno haya (Economic Recession, Depression, Bail out) hasa siku hizi ambapo uchumi wa dunia unayumba. Je nini hasa maana ya maneno haya kwenye uchumi wa nchi? Kama bail-out ni kutoa mapesa kwa makampuni ya uzalishaji ili kujikwamua kama wanavyofanya USA, je Tanzania iko imejiandaaje kwa hili?