Maendeleo tu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 347
- 107
angalau atakuwa ana kazi ya kufanya kwa kushirikiana na tume ya mawasiliano kwenye kuanzisha anuani za makazi.
ila hawa posta hawana maana kabisa. wameshasababisha upotevu wa parcel nyingi sana za watu kiasi kwamba tumeamua kutumia mashirika kama fedex na dhl kwa kazi ambazo wangeweza kuzifanya wao, aagh!