Deo Furikujombe asema wabunge wana stress sana

Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge

wanaogopa vi mvuri vyaoa nao si walifanya hivyo,zamu kwa zamu

Lazima wawe na stress kwa sababu dhamira zao zinawasuta! 330, 000 kwa siku wakati wapiga kura wanalala kwenye mbavu za mbwa! Utapataje usingizi?

Kaka you are absolutely right, dhamira zao zinawasuta
 
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge

Hilo jimbo alilinunua wapi hadi aliite la kwake? Huu ni uthibitisho wa kufuata ubunge kwa ajili ya maslahi binafsi, mbona wakati wa kuzika au kilimo cha bega kwa bega sijawahi kuona mtu akikatta kupokelewa chepeo au jembe. Ingekuwa ubunge ni utumishi wa umma ukipata mtu anataka kukutua mzigo huo ungefurahi na kumkarisha.
 
Back
Top Bottom