Deo Fulikunjombe aomba mwongozo kukomesha tabia ya kufuja muda

Zitto Kabwe yuko hewani sasa hivi kama msemaji rasmi wa kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Fedha na ameanza moja kwa moja na point zake bila kulemba wala kumtaja yeyote yule, usiwe kama pimbi kubisha vitu ambavyo haviswi kubishaniwa, hebu declare interest zako kwanza.
Mkuu Matola Achana na hili gamba Ecoli hebu anagalia avatar yake na majibu yake zinafanana
 
Wale wale nilisikia, nimeambiwa, pumbavu kabisa ni nani alikudanganya Bunge limetenga muda wa porojo na muda wa kujibu hoja, unadhani ile kengele ya muda huwa anaipiga speaker? _ hujui kama hata speaker mwenyewe kuna wakati huwa hajui ni kengele ya kwanza au ya pili.

Kama unachokisimamia ni kweli kuna maana gani ya mawaziri kujihami na kuomba hotuba yote iingie kwenye hansard kabla muda wake haujakwisha?
Akili finyu utaijua tu wala hutumii nguvu. Shida yenu hutaki kuelewa unakaa unabisha tu
 
Wana Jf sasa ni dhahiri Deo Fulikunjombe anaingia rasmi kwenye vitabu vya kihistoria, kwa kuwa natumia simu ngoja niwe short and clear.

Ni hivi, kumekuwa na tabia ya Mawaziri kupewa dakika 40 kujibu hoja za Wabunge, lakini cha kustaajabisha waziri anatumia dakika 20 kutaja majina ya wabunge waliochangia bajeti badala ya kujibu hoja.

Sasa Deo ameomba muongozo wa Spika kama jambo hili ni sahihi au kiti kitamke kulikomesha mara moja.

Speaker atatowa mwongozo baadaye kabla ya kusitisha shughuli za Bunge za asubuhi.

My Take: Wanaodhani sisi hasa mimi Matola nina ugomvi na CCM wanajidanganya, nahitaji kuwa na mbunge wa aina hii bila kujali chama chake, hata kama leo Deo Filikunjombe akigombea jimboni kwangu kwa tiketi ya CCM nitampigia kura yangu bila tabu yoyote. Mimi msimamo wangu huwa nachaguwa mtu na siyo chama.

Namskitikia Deo Filikunjombe sijui anafanya nini kwenye chama hiki cha mafisadi. Naona anazidi kupoteza hekima na busara zake kwa kuishauri mijitu isiyoshaurika. Deo HAMIA CHADEMA sasa kabla ya 2015. Nina uhakika ukiwa kwenye timu makini ya CHADEMA itakayoingia Ikulu na wewe ukiwa mmojawapo wa Mawaziri basi Tanzania mtabaibadilisha na kuwa kama ilivyo Rwanda kwa sasa!

Karibu CHADEMA Deo.
 
Kama anatowa hotuba mbona hakuanza kwa kuwashukuru wana kigoma kwa kumchaguwa?
Mbona hajataja familia yake mtoto wake na mama yake na Mungu wake?

Hivi nyinyi watu mmerogwa? Mnakosa hata uelewa mdogo? Mtatetea mpaka wabunge kulala bungeni mtasema huwa wanatafakari.
ukiona mtu umeishiwa hoja unaleta vioja, yaani nashindwa nikuweke kwenye kundi gani. We si umekuja na thread kua mawaziri wanapoteza muda wao wa kujibu hoja na kuwataja waliochangia! umepewa jibu unakuja na lingine. ungeyaweka yote tujue unacho lalama
 
Pumba Express!! Jibu lipi?
 
Kwa mfano

Wizara ya Ulinzi:

UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa..

2. Mheshimiwa Spika, kwanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu,
aliyenijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha hotuba yangu ya bajeti kwa
mwaka 2012/2013. Pili namshukuru kwa dhati Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kwa kuniteua kuwa
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Nawathibitishia Waheshimiwa Wabunge
wenzangu na wananchi wote wa Tanzania kwamba nitatekeleza majukumu niliyokabidhiwa
kwa umakini na uaminifu mkubwa.

3. Mheshimiwa Spika, tatu napenda kutumia fursa hii kuwapongeza Mawaziri na Manaibu
Mawaziri walioteuliwa kushika nyadhifa hizi hivi karibuni.

Vile vile nampongeza Mhe. James Mbatia (Mb.) kwa kuteuliwa na Mhe. Rais kuwa Mbunge.
Nampongeza pia Mhe. Mussa Azan Zungu (Mb.) kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge.
Vile vile napenda kuwapongeza Watanzania waliochaguliwa na Bunge letu Tukufu kuwa Wabunge
wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

4. Mheshimiwa Spika, katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2011/2012
Wabunge wenzetu watatu waliiaga dunia. Wabunge hao ni Marehemu Jeremia Sumari,
Marehemu Mussa Silima na Marehemu Regia Mtema. Napenda kutoa pole za dhati kwako
Mheshimiwa Spika, Waheshimiwa Wabunge, ndugu, marafiki na Watanzania wote kwa ujumla
kwa msiba huo mkubwa uliotupata. Namuomba Mwenyezi Mungu azilaze roho zao Peponi. Amin.

5. Mheshimiwa Spika, halikadhalika, napenda kuchukua nafasi hii kuishukuru Kamati ya Bunge
ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Edward Lowassa
,
Mbunge wa Monduli kwa kutupa ushauri na mapendekezo mazuri sana wakati wakichambua
mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yangu. Kamati hii imekuwa
ikiishauri vyema Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuhusu njia mbalimbali za
kuimarisha utendaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi la Kujenga Taifa ili liweze
kutekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa nchi yetu.

6. Mheshimiwa Spika, kabla sijatoa maelezo yangu kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2012/2013
napenda kuungana na Waheshimiwa Wabunge kuwapongeza Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda (Mb),
Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha, Mhe. Dk. William Mgimwa (Mb), na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu),
Mheshimiwa Steven Wasira (Mb) kwa hotuba zao ambazo zimetoa mwelekeo katika masuala ya Mipango, Uchumi,
Mapato na matumizi ya Serikali kwa kipindi cha mwaka 2012/2013.
===============================
?????

Dah!inachosha sana!yani kuchezea muda tu,na mwisho wa siku bajeti inapitishwa kwa mbwembwe!!Filikunjombe na Luhaga Mpina ndo wabunge pekee wasio na kansa ya magamba.
 
Kisha azungumzie utoro bungeni na kuacha vikao kwa mtu kujiendelea kufanya shughuli binafsi ama jimboni kwake ama nyenginezo.

Wabunge wetu wamezidi mno kwa utoro
 
Ukiona mtu yeyote anatumia muda mwingi kufanya jambo ambalo halileti tija kwake jua kuwa mtu huyo ni mufilisi na hajui wajibu wake.

Bla bla bla bla nyingi sana!Hit the point and move on mwishowe wabunge wanaishia kuchapa usingizi maana wanayoyawasilisha yanaboa. No msisimko at all, bajeti ile ile maneno yale yale, no innovations.
 
Kisha azungumzie utoro bungeni na kuacha vikao kwa mtu kujiendelea kufanya shughuli binafsi ama jimboni kwake ama nyenginezo.

Wabunge wetu wamezidi mno kwa utoro
Hili hawataki kulizungumzia kabisa maana inawagusa sana. wanaangalia vitu kwa urefu wa pua tu
 
Hili hawataki kulizungumzia kabisa maana inawagusa sana. wanaangalia vitu kwa urefu wa pua tu

Hili linawahusu wote. Hakuna chama chenye afueni kwenye suala hili. Na huwezi kumsikia mmoja wao kulikemea maana hawana moral authority ya kusema chochote. Wote watoro
 
Hili linawahusu wote. Hakuna chama chenye afueni kwenye suala hili. Na huwezi kumsikia mmoja wao kulikemea maana hawana moral authority ya kusema chochote. Wote watoro

Sasa hivi watakuja kukwambia kaanzishe thread yako hapa tunaongelea muda.
 
Wana Jf sasa ni dhahiri Deo Fulikunjombe anaingia rasmi kwenye vitabu vya kihistoria, kwa kuwa natumia simu ngoja niwe short and clear.

Ni hivi, kumekuwa na tabia ya Mawaziri kupewa dakika 40 kujibu hoja za Wabunge, lakini cha kustaajabisha waziri anatumia dakika 20 kutaja majina ya wabunge waliochangia bajeti badala ya kujibu hoja.

Sasa Deo ameomba muongozo wa Spika kama jambo hili ni sahihi au kiti kitamke kulikomesha mara moja.

Speaker atatowa mwongozo baadaye kabla ya kusitisha shughuli za Bunge za asubuhi.

My Take: Wanaodhani sisi hasa mimi Matola nina ugomvi na CCM wanajidanganya, nahitaji kuwa na mbunge wa aina hii bila kujali chama chake, hata kama leo Deo Filikunjombe akigombea jimboni kwangu kwa tiketi ya CCM nitampigia kura yangu bila tabu yoyote. Mimi msimamo wangu huwa nachaguwa mtu na siyo chama.
Hata mimi hili suala la kutaja majina huwa linanitatiza sana.Mimi nafikiri waziri akisema hiyo list iingie kwenye hansard kama ilivyo itaingia tu, si lazima ataje majina ya watu wote waliochangia kwa kusema na kwa maandishi. Namuunga mkono.

My take: Mimi akija Deo Kugombea jimboni kwetu kwa tiketi ya CCM simpi kura ng'o! tumechoshwa na mfumo wa utawala wa CCM, umeshindwa ku-deliver.

Kwahiyo nyie wenye uelewa msiendelee kuchelewesha ukombozi kwa falsafa zenu zilizoshindwa. Mimi nachagua CHADEMA from now, mtu akija na kichama chake napiga chini tu siangalii.
 
Muda wa kutaja majina hauhesabiwi kwenye ule muda anaopewa Waziri kujibu hoja.

Kwa mana hiyo mkuu muda unakuwa umesimama? hata km unapo2mia muda mwingi kutaja majina muda una2mika na waziri anapojib hoja zingine anaacha kisa muda hautoshi na anasema majib mengine watatoa kwa maandishi, najua hoja ya kutaja majina ni kutaka wananchi wajue mbunge wao aliongea/alichangia.
 
huyo ni mpinzani aliyendani ya ccm.safi sana Deo kwa hoja hiyo
 
Huu mfumo uondolewe, ibaki kumshukuru spika au mwenyekiti kumpa nafasi ya kuchangia au kuto hoja.
Ikosiku huyo aliebiwa silaha za maangamizi akamshukuru nyumba ndogo yake
 
Haswa naunga mkono hoja ni utoto,mtupu hawa mawaziri wetu sijui ni ulimbukeni hasa yule aliyeibiwa ak-47 na petty cash ya zaidi tsh.milioni kumi morogoro baada ya kung'oa khahumba pale mrupo.kupongezana tu miaka saba mnampongeza rais kuchaguliwa na kazi hafanyi kuruka tu.
 
Back
Top Bottom