Deo Filiphikunjombe

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Leo kaomba muongozo wa spika kuhusu hela za rada,kasema katika vitabu vya bunge imeandikwa hela za rada.Kasema ili kuweka kumbukumbu nzuri kwa vizazi vya baadae na tanzania haifanyi biashara ya rada ili ieleweke vvizuri kwa vizazi vya baadae ameshauri iandikwe hela ya chenji ya rusha iliyofanya na wafujaji wa hela za uma kati ya serekali ya TZ NA UK.akasema Mh spika naomba muongozo wako kuhusu hili tuiweke katika hali gani nzuri ili ieleweke kwa vizazi vya baadae? kama kawa spika kaitolea nje hoja ile.
 
Back
Top Bottom