TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
Huyu jamaa hakika ni machine ndani ya CCM kwani amedhihirisha hilo bungeni.Bila woga wowote amesimamia ukweli kwa kutaja waziwazi majina ya mawaziri ambao anawaita ni mchwa kwa kutafuna fedha za umma.Hili ni jambo la kishujaa sana ambalo linapaswa kupongezwa na kuigwa na wabunge wote wa CCM.Kwani kosa wanalolifanya CCM ni kuacha kuangalia matatizo ya wananchi na kuangalia chama zaidi.Ikitokea issue yoyote ccm wanaangalia ina madhara gani kwa chama na siyo ina madhara gani kwa wananchi.Hali hii imewafanya kukumbatia hata mambo ya ovyo kama ufisadi kwa kuogopa kuharibu umoja wao katika ccm.Ndio maana utakuta huko dodoma kipindi hiki cha bunge utakuta ccm baada ya vikao vya bunge wanakuwa na vikao vyao vya kuwekana sawa.Jambo hili CHADEMA wame capitalise wako na wananchi kwa ukaribu mkubwa.Ni wakati sasa wa watu wa CCM wote kubadilika na kuwatumikia wananchi,kumbukeni maneno ya MILLYA,"CCM si baba wala mama yangu". you have to put first the intersts of the country and subordinate the interests of the party.