Deni la Ugiriki na Funzo kwa Tanzania

I think we are also heading there. Maana hiyo current account deficit kwetu ni kawaida kila mwaka. Na serikali ndio imeajiri watu kibao na wilaya zinaongezwa. On top inflation juu na madeni kwa maana hiyo yanaongezeka. Mwisho na sisi tutaanza kuomba wananchi na mashirika ya kimataifa yaisamehe serikali. Ukifika hapo ni balaa. Kwa kifupi credit rating ya serikali ya bongo inatakiwa iwe chini kwa sasa kunahaja kuwaita standards and poors waje kuangalia.
 
Ni hatari sana nchi kukopa kwa ajili ya kuendesha serikali ndio sababu Ugiriki walifilisika haraka. Kama tunakopa tukope kwa ajili ya uzalishaji na miradi ya maendeleo na sio kuendesha serikali deni lolote la ndani na nje ni hatari kwa uhai wa nchi na vizazi vijavyo.

Mkuu I have read your article and it is good but it is oriented to the western point of view.

Nakubaliana kabisa kuwa huwezi kuendesha serikali kwa mapato ya mikopo, maana huo ni wenda wazimu.
Kuna scenarios ambazo hujazigusia kabisa na ni muhimu sana kuziainisha.

Introduction of the Euro common currency vis-a-vis capital flight, coupled with diminishing exports.
Hili ni tatizo ambalo si wachumi wengi wanapenda kuli explore, na hii ndio bottom line ya tatizo la Ugiriki.

Sisi hapa Tanzania tulianza kushabikia kwa nguvu uanzishwaji wa sarafu moja, kabla akili haijaingia kichwani.
Leo tunashukuru kuwa dynamics za currency flows ndio kwanza zinaanza kueleweka, na athari zake katika tija na uzalishaji mali kwa kushindana na masoko ya nje.
Tunashukuru kuwa serikali ya Tanzania imelishtukia hili na kulifikiria kwa muonekano mpya, kwa kutilia maanani mfano wa Ugiriki.
Mchina sio mjinga ku-ender value currency yake, hivyo exports zake ili ziwe competative katika soko la dunia.
Na hili linalindwa na serikali na si market forces.

Mkuu Mdondoaji naomba comments zako juu ya hili.
 
Mkuu Lole,

Kama nimekuelewa vizuri unaniuliza tatizo la unification of currency on Greece exports. Vile vile je inajifunza lolote kutoka hapo? Pengine tuanzie kwenye EU currency. Kabla ya kuundwa kwa Euro kulikuwa na kitu kinaitwa EMU (European Monetary Union) ambayo kazi kubwa ilikuwa ni kustabilize sekta ya fedha ya umoja wa nchi wanachama ulaya. Now nchi kama Germany, Netherlands, Denmark and Italy are export based economy. That relies heavily on industry exports. Kuna tafiti zimefanyika walipojiunga EU hizi nchi ziliongeza uzalishaji maradufu na kuexport zaidi. Hata hivyo kuna nchi kama Greece, Austria, Ireland na nyenginezo ziligeuka na kuwa damping ground of foreign exports from other nations.

Tukichunguza kwa undani kwanini kumetokea mabadiliko jibu ni kuwa hizi nchi wanachama kama Ireland na wengine walishindwa kushindana kiushindani kwakuwa gharama za bidhaa zao zilitegemea zaidi urahisi. Mfano Ireland na Baadhi ya nchi za Ulaya wanazalisha bidhaa za quality ya nchi na kuuza nchi za ulaya. Walivyojiunga EU gharama zikaongezeka na kupandisha bei za bidhaa zao na matokeo yake kukosa soko la kuuza bidhaa zinazozalishwa humo.

Hali kama hiyo inaweza kuikumba Tanzania. Mfano blue band ya kenya na Tanzania zinaweza kuuzwa kwa bei tofauti kwa vile sarafu ya kenya ni stronger than shillingi ya Tanzania. Hivyo kama Tanzania tunafaidika na sarafu yetu kuwa weak kwani tunauza bidhaa zetu kwa bei rahisi. Athari kuunga sarafu zetu mara nyingi tunaweza kujikuta tunaua viwanda vyetu bila ya kujijua. Hata hivyo kuunganisha sarafu tunaweza kuwa na faida kwetu kwa vile tunategemea sana importation of goods and services. Na muunganiko wa sarafu utaongeza purchasing power ya pesa ya mkononi mwa mtanzania na kusababisha gharama za imports kupungua. Hata hivyo this should be treated with cautious. Kwani kupanda kwa purchasing power vile vile kunaweza kupandisha gharama za maisha na mwishoe inflation.

In short unification of currency has both positive and negative effects and kwa Tanzania there are more negative than positive in my view. Nilikuwapo!!!
 
Back
Top Bottom